Huyu sharo nia aje hapa....

..duniani !! we acha tu..
 
Kama ni black america sishangai maana ulaya washamaliza kila kitu cha maendeleo na yaliyobaki ni haya,sio bongo mpaka leo eti rais anaenda tabata kuzindua kituo cha polis na visima vya maji...50yrs baada ya uhuru kweli???
 
Wenzetu wameshafikia level ya juu ya maendeleo,kama ni hospitali zipa za kutosha, kama ni shule mpaka zimefurika, maji yanamwagika tu, umeme unakosa matumizi mpaka unatafuta watu wa kuwapiga shoti. Kilichobaki ni kutumia tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…