Huyu Sasha Obama anazidi kuchipuka tu polepole!

Hizi hapa

raisanniversary2.jpg


476%20Babies%202.JPG


ridiwani+1.jpg

Yaani du! sikuwezi. wazibe midomo wambeya
 
Picha nzuri ya familia. Naomba mwenye picha ya familia ya rais wangu aitume hapa nifurahi.

ule utitiri wa tutoto tudogo twa miaka mitatu kama wajukuu zake akiongozana nao si itakuwa kichekesho.
Kuna mmoja hivi alipataga div iv, yupo kama puto hivi anaitwa Mwanaasha
 
Picha nzuri ya familia. Naomba mwenye picha ya familia ya rais wangu aitume hapa nifurahi.

Nimecheka mno!!! Tanzania ubora wa familia si kigezo cha uongozi maana asilimia 99% wasingekipita kigezo hiki!!! Ha ha ha ha!! Kwa wenzetu ni kipimo cha kwanza cha uongozi!!
 
kuna yule aliyegonga chapati Fedha School, Rehema kitu kama hicho...
1.mamam mwanaisha
2.mamasalma
3.mama rizwani
4.mamam miraji
5;;;;;;;;
6.......18
.....
na kila mmja ana watoto wakutosha wacha kale kabint kajuzi kakiarabu,wacha wale watotot wa kuiba iba mama zao hawakuol;ewa hahahah
 
tatizo letu tanataka mambo ya kizungu,.sifikiri hayo matabasamu yanaonesha upendo.hivi unajua hao madogo wanasoma shule malumu na moja ya vitu wanavofundishwa ni muonekano kwenye halaiki.uliza gharama nan analipa
 
Back
Top Bottom