Nimekuwa msomaji mzuri wa gazeti la mwanahalisi, mara zote habari muhimu ilikuwa ya huyu mpiganaji-alikuwa anatoa habari critical zenye uchunguzi wa kina: Kuna kipindi waziri wa ushirikiano wa africa mashariki kupitia kipindi cha dk 45 ITV alitoa shutuma; nanukuu:
"ninasikitika vita hii ya ufisadi kuna watu walianza vizuri likini cha kushangaza sasa na wao mwameshanunuliwa na mafisadi-kwa mfano kijana wetu mzuri, makini na hodari wa kutoa habari za kuaminika kwa sasa yuko mikononi mwa mafisaji huyu ni kijana wetu KUBENEA" Mwisho wa nukuu.
Bila shaka alichokisema Samweli Sitta ndicho nachokiona sasa kwenye gazeti la mwanahalisi. Anayebisha ajaribu ku-THINK. Huwezi kukuta tena kwenye gazeti hilo habari za mafisadi na washirika wao. Gazeti lililokuwa linanunuliwa sana na watu makini kwa sasa mauzo yameshuka sana kwa gazeti hili.
NOTE: wao wanadili na kikwete tuuuuu, hata maovu ya CCM kwa ujumla wake hawauoni tena!