Huyu rubani, selfie hadi kwenye ndege...!

sasa walifungaje breki ?? mpaka wakatua chini??
Ndege inaendeshwa na marubani wawili mkuu! Itafute youtube! Halafu huyo co-pilot alikua ni mwanamke, ilikua ni kizaa zaa hatari maana mawasiliano yalikua magumu kutokana na upepo uliokua mwingi kuingia kwenye cockpit kupitia dirisha lililong'oka kioo., na ndege huwezi kuishusha tu bila mawasiliano..
 
Hili linawezekana iwapo ndege hii ingekuwa kwenye low altitude,depressurized na speed ndogo. Kwa picha hii altitude ambayo hii ndege ipo haiwezekani kwasababu ni juu sana na ndege itakuwa na speed kubwa na cabin iko pressureized. Ukifungua kioo unanyonywa nje!
Brooo hiki kitu hakiwezekani kwenye Boeing hata siku moja. hata kwa ndege ndogo ambazo huenda chini ya 10000 ft haiwezekani
 
Ndege inaendeshwa na marubani wawili mkuu! Itafute youtube! Halafu huyo co-pilot alikua ni mwanamke, ilikua ni kizaa zaa hatari maana mawasiliano yalikua magumu kutokana na upepo uliokua mwingi kuingia kwenye cockpit kupitia dirisha lililong'oka kioo., na ndege huwezi kuishusha tu bila mawasiliano..
niliiangalia hii series.. .jama alisurvive aise watu wawili walimshikilia miguu it was so emotional wakahadithia kwamba waliuwa wamechoka ila wanashindwa kumuachilia miguu Mungu bwana
 
Brooo hiki kitu hakiwezekani kwenye Boeing hata siku moja. hata kwa ndege ndogo ambazo huenda chini ya 10000 ft haiwezekani
Kwahio Boeing haiwezi kuruka chini ya 10,000ft?
 
nakunukuu kwa maneno yako mkuu 'Hili linawezekana iwapo ndege hii ingekuwa kwenye low altitude,'
Sasa usichoelewa nini? Wewe unafikiri low altitude ni 3ft?
 
Ndege inaendeshwa na marubani wawili mkuu! Itafute youtube! Halafu huyo co-pilot alikua ni mwanamke, ilikua ni kizaa zaa hatari maana mawasiliano yalikua magumu kutokana na upepo uliokua mwingi kuingia kwenye cockpit kupitia dirisha lililong'oka kioo., na ndege huwezi kuishusha tu bila mawasiliano..
Co-pilot hakuwa mwanamke bali alikuwa jamaa ambaye ndiye mara ya kwanza kufly na hio crew. Yani first day at work.
 
Sasa usichoelewa nini? Wewe unafikiri low altitude ni 3ft?

bro sio ugomvi... low altitude ni 10thousand feet below au ulimaabisha 3000 ft boeing haiwezi kuruka in those altitudes.. zinazoweza kuruka in those low altitutudes ni light aircrafts na ndo mana nkasema hata hizo ndege zinazoweza ruka low altitudes hiko kitu hakiwezekani. usikarisike kwa mambo usioyajua mkuu jis relax
 
Hata sikuelewi naona unarukaruka. Anyway just ignore me endelea na wajuzi wenzio.
 
Photoshop
Kiuhalisia speed na upepo huko juu hawezi fanya hayo

Pia kiusalama angekua keshamakatwa tayari
Tena muonekano wa kupepea kwa tai kusingekua na muonekano kama huo kabisa!!
 
Hakuna kitu kama hicho, hakiwezekani na hakitawezekana kamwe. Kwa wale wanaojua mambo haya wamenielewa
 
Back
Top Bottom