Huyu rubani, selfie hadi kwenye ndege...!

Huyu rubani, selfie hadi kwenye ndege...!

Photoshop
Kiuhalisia speed na upepo huko juu hawezi fanya hayo

Pia kiusalama angekua keshamakatwa tayari
binafsi nilikuwa na jarbu kulinganisha picha na hali halisi ya huko angani kweli ufungue windmirror ndege iko kwrnye mwendo buuh
 
Haiwezekani, kwa huo upepo hiyo selfie stick na yeye wote wangevutwa nje na kutupwa baharini. Halafu engine ya kwanza ni nyeupe, zinazofuata ni orange..
 
Hili linawezekana iwapo ndege hii ingekuwa kwenye low altitude,depressurized na speed ndogo. Kwa picha hii altitude ambayo hii ndege ipo haiwezekani kwasababu ni juu sana na ndege itakuwa na speed kubwa na cabin iko pressureized. Ukifungua kioo unanyonywa nje!
 
hizo ni ndege 2 tofauti...hii itakuwa photoshop tu hakuna namna
 
736d0c5a4c520bea10b9c1b58b0f7380.jpg
 
Kuna documentary moja kuhusu ndege inaonyesha kioo kilifunguka kutokana na upepo! Rubani alivutwa nje wenzie wakabaki kushikilia miguu mpaka ndege ilipotua!
sasa walifungaje breki ?? mpaka wakatua chini??
 
Back
Top Bottom