McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
sijamtusi joh, na siwezi kumtusi au kukorofishana na mwana kisa girl but natafuta njia nzuri ya kumfikishia ujumbe ili asikwazike wala kujisikia vibayakikubwa mi naona kaka unampenda gf wako had unakuwa nawivu kwamtu asiye nampango nae, amini nimkalimu tu kwawageni anaona asipokuwa karibu na mgeni ataonekana anajisikia, kama unataka kuwa faragha na gf panga nje, kama sivyo usikwazike nikawaida wa2 wengine anahisi akikaa kimya atawaboa, angekuwa ndo kakayako home anawajoin we na wife kwamaongez ungemfukuza? acha wivu wamapenzi, alafu usimtusi roomate kisa gf, siku gf akikutosa utakosa mfariji, au ukaumwa night gf atakuwepo room? be careful usikurupukie mtu asiyewazia gf wako nae anawake
Watoto wa siku hizi balaa, badala ya kuuliza ishu za masomo au kazi wanauliza mambo ya hovyo kabisa ya kimapenzi
Concentrate kwenye masomo.
Umenikumbusha mbali.
Room ya jirani kuna jamaa alikua kila siku anapigwa exile anashinda room kwetu hadi huruma.
Mimii ni finalist wa chuo flani hapa hapa TZ
Finalist wa chuo ndo nini?
Finalist wa chuo ndo nini?
Yani amefanikiwa kusoma chuo mpaka mwaka wa mwisho.
Huyo mate wako anahaki ya kuacha kila kitu na kuwasikiliza nyie, wewe mtu anasoma wewe unamletea mwanamke wa nini? Hiyo room imekuwa guest? Kwanini usiende nae hotel au guest au sehemu nyingine yoyote yenye privacy mkakaa huko na kupiga story zetu? Mtu anasoma wewe unamletea demu, unataka afanyeje sasa na wewe umemuondoa kwenye mood ya kusoma kwa umalaya wako?Mimii ni finalist wa chuo flani hapa hapa TZ, nina girlfriand wangu hapahapa chuoni but ishu inakuja pale anapokuja kunitembelea room, maana kuna jamaa nakaa nae hapa (roomates) huwa simueliwi kabisa, kila mara gf wngu akija basi jamaa ndio anakua muongeaji mkuu, kila maada hata kama haijui na haimuhusu anadakia.
Inaweza ikatokea jamaa anasoma lakn akija girlfriand wangu tu basi jamaa anaacha kila anachofanya anakuja sehemu tuliyokaa nae anakaa afu ndio anakua muongeaji mkuu, kiukweli anaboa sana maana mda mwngne tunaweza tukawa serious mezani tunapiga msuli lakini jamaa mara afungulie mziki volume ya juu.
Mara aje kwenye PC yangu kana kwamba kuna kitu anatafuta, but nae ana gf wake lakn ye akija mi nakua sina time nae labda nishirikishwe kdgo ndio nachangia naogopa kumwambia mshikaji maana nitakua kama naingilia uhuru wake pia itaonekana namjali girl kuliko mwana but infact the guy is real sturbbon, nimwambie jamaa au nifanyeje na kibaya zaidi asipokuja hata wiki moja ye ndio anakua wa kwanza kumulizia.
Naombeni ushauri jamani
ni mmoja tu kiongozi hawa wengne niwaelewa
jamaa anammendea huyo demu sa chakufanya we msikilizie nakama vp naww anza kumshobokea demu wake af tulia uone yaan kuw silias na dem wake
Huyo mate wako anahaki ya kuacha kila kitu na kuwasikiliza nyie, wewe mtu anasoma wewe unamletea mwanamke wa nini? Hiyo room imekuwa guest? Kwanini usiende nae hotel au guest au sehemu nyingine yoyote yenye privacy mkakaa huko na kupiga story zetu? Mtu anasoma wewe unamletea demu, unataka afanyeje sasa na wewe umemuondoa kwenye mood ya kusoma kwa umalaya wako?