Huyu Riziwani mbona haeleweki?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,903
2,884
Mtoto wa Rais wa awamu ya nne na mbunge wa Chalinze, mheshimiwa Ridhiwani Kikwete alijipatia umaarufu mkubwa sana mwishoni mwa utawala wa baba yake lakini inashangaza kuona kwa sasa havumi tena.

Sijui nini kimemsibu huyu mwanasiasa wetu!
 
1: Kwani alikuwa anaelewekaga..? tuanzie hapo kwanza..!!
2: Sbb zipi zilimfanya avume..? ebu zitaje sbb zilizomfanya avume.!!

mtoto wa rais wa awamu ya nne na mbunge wa chalinze mheshmiwa riziwani kikwete alijipatia umaarufu mkubwa sana mwishoni mwa utawala wa baba yake lakini inashangaza kuona kwa sasa havumi tena sijui nini kimemsibu huyu mwanasiasa wetu!
Alijipatia umaarufu katika nini?
 
mtoto wa rais wa awamu ya nne na mbunge wa chalinze mheshmiwa riziwani kikwete alijipatia umaarufu mkubwa sana mwishoni mwa utawala wa baba yake lakini inashangaza kuona kwa sasa havumi tena sijui nini kimemsibu huyu mwanasiasa wetu!
Ridhiwani ana mke,na hana mpango wa kuongeza labda umfuatilie JJ bado hajaoa
 
Mtoto wa Rais wa awamu ya nne na mbunge wa Chalinze, mheshimiwa Ridhiwani Kikwete alijipatia umaarufu mkubwa sana mwishoni mwa utawala wa baba yake lakini inashangaza kuona kwa sasa havumi tena.

Sijui nini kimemsibu huyu mwanasiasa wetu!
Kuvuma kwake kunatusaidia nini?
 
Mtoto wa Rais wa awamu ya nne na mbunge wa Chalinze, mheshimiwa Ridhiwani Kikwete alijipatia umaarufu mkubwa sana mwishoni mwa utawala wa baba yake lakini inashangaza kuona kwa sasa havumi tena.

Sijui nini kimemsibu huyu mwanasiasa wetu!
Walikuwa wamezoea kumzushia mambo sasa hivi hawawezi kwa sababu ya sheria ya mitandao..
 
Mtoto wa Rais wa awamu ya nne na mbunge wa Chalinze, mheshimiwa Ridhiwani Kikwete alijipatia umaarufu mkubwa sana mwishoni mwa utawala wa baba yake lakini inashangaza kuona kwa sasa havumi tena.

Sijui nini kimemsibu huyu mwanasiasa wetu!

Haya Zungusha Mikono!!
 
U

JANA NILILETA UZI WA KUMHUSU WILLIAM MALECELA LEMUTUZ,KUKOSA AU KUTOSWA TEUZI ZA JPM. NAAM JAMII FORUM MODS UEHARA WAPO PIA!
UZI UTAONDOLEWA SI MDA MREFU JF, NI ZAIDI UJUAVYO MODS WENGINE MAKADA WA NYINYIEMU.
 
Mtoto wa Rais wa awamu ya nne na mbunge wa Chalinze, mheshimiwa Ridhiwani Kikwete alijipatia umaarufu mkubwa sana mwishoni mwa utawala wa baba yake lakini inashangaza kuona kwa sasa havumi tena.

Sijui nini kimemsibu huyu mwanasiasa wetu!

Vuma wewe kama unaona kuvuma kitu rahisi.
 
Back
Top Bottom