Huyu Riziwani mbona haeleweki?

Mtoto wa Rais wa awamu ya nne na mbunge wa Chalinze, mheshimiwa Ridhiwani Kikwete alijipatia umaarufu mkubwa sana mwishoni mwa utawala wa baba yake lakini inashangaza kuona kwa sasa havumi tena.

Sijui nini kimemsibu huyu mwanasiasa wetu!
Kuvuma kwa skendo na dili chafuchafu nazo/nayo ni sifa!!???
 
KAMA HAELEWEKI CHONGA DAWATI LA KUKAA MTU MMOJA HALAFU UJE KUKALIA HAPA COCO BEACH UTAONA KAMA ANAVUMA KWENDA KUSI AU KASKAYI
 
Back
Top Bottom