Watanzania wajinga kweli, zamani ilikuwa kila kitu kikubwa ni cha "kizungu", sasa kwa ule ule umbumbumbu ni cha "Rais" au "mtoto wa Rais".
Hivi kwa upuuzi kama huu mnategemea mtaendelea? mimi nasema "mawee".
Badala ya kutwa kukaa kusifia vya wanaume wenzenu na nyinyi ingieni wivu wa kufanya si kusengenya, wasengenyaji wakubwa nyie.
kiongozi bora nilimwe ban lakini sitakubali maneno yako makali uliyoyatumia hapa.
Sidhani kama hizi tuhuma ni za uongo na tunachokisema au kulalamika hapa si wivu wa maendeleo ni namna rasilimali zetu zinavyotumika vibaya kwa baadhi ya watu hali watz wengine wanalia....
We will complain until we get equality.
Hiki kitu hakiwezekaniiiiiiii huwezi kutetea uovu tukakuacha hivi hivi I must tell you the truth kwamba " Acha kutetea uovu".
Endelea kutembea nchi nzima kushangaa vya wenzako badala ya kujipanga kimaisha utashangaa kunakucha na uzee unakukuta hujafanya lolote.