Huyu Pastor Kabigumila ni moja ya wachungaji wenye tabia za attention seeker

Huyu Pastor Kabigumila ni moja ya wachungaji wenye tabia za attention seeker

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,351
Reaction score
3,878
Nimekuwa nikimfuatilia huyu anayejiita mtumishi nimeona ni wachungaji wenye tabia zote za wanasiasa uongo na unafiki mwingi alionao ndio unamfanya apambane ajenge njia yake ya kuingia siku moja kwenye mfumo kula pesa za serikali ni aina ya wachungaji wanaopenda attention za watu, anapenda kusifiwa anapenda umaarufu kwa nguvu, mbaya zaidi ni muoga kuliko unavyoweza kufikiria.

Mtu ambaye ameshindwa hata kujenga na kuboresha miundo mbinu ya kanisa lake leo anasimama na kuikosoa serikali, Mzee wangu aliwahi nifundisha jambo kuwa siku zote usipende kuwasikiliza watu ambao hawajafanikiwa kwenye maeneo matatu, 1. Akili yake 2. Familia yake(ndoa yake) na 3. Uchumi wake.

Huyu ni suala la muda tu kuna anachokitafuta hana lolote.

images (62).jpeg
 
😀😀😀😀😀😀😀 ngoja waumini wake waje
 
Back
Top Bottom