Huyu ni wakuoa kweli?

Mfundishe kushukuru
 
Pungufu la neno "ahsante" ndilo la kukufanya upige chini? Wewe huna pungufu?

Beba pungufu Hilo Kama lako mkuu nenda nae taratibu huenda akabadilika uko mbeleni..
 
Ila I'm proud to be a nyakyusa aisee na makabila ambayo kidogo ningetamani niwe kama nisingekuwa mnyakyusa basi ningetamani niwe kati ya mchaga, mrangi, mpare au mmeru tofauti na hayo sijaona kabila lingine hapa bongo linalonipendeza kwa kweli
Aisee
 
Pungufu la neno "ahsante" ndilo la kukufanya upige chini? Wewe huna pungufu?

Beba pungufu Hilo Kama lako mkuu nenda nae taratibu huenda akabadilika uko mbeleni..
Ni wale watu wanaitwa dont care girls
Imagine since morning anajua kabisa naumwa jino hta kuuliza naendeleaje
really?
 
Ni wale watu wanaitwa dont care girls
Imagine since morning anajua kabisa naumwa jino hta kuuliza naendeleaje
really?
Mpigie/mtext kwa kumtakia hali ukiona hakuulizi nawewe waendeleaje mchane..hata kwenye utani lakini hakikisha hata akikaa na kutafakari utani wako unamchoma na kujifunza

Nilikua mdada wa ivyo enzi hizo..sikua mtu wa kujali chochote nilipata mwanaume alininyoosha na nikaamua kubadilika na nimebadilika.
 
Dah! anyway tc ok ntajaribu kufuata ushaur wko
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…