Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Iliweka picha yake
Wa kawaida tu mkuuSifa kuu ni chura hizo zingine ni ziada kama chura hipo oa
Dah yan kizuri kwake ni kuwa hana shobo na wanaume ila sasa mambo mengine yale ya kimahaba mahaba ndo hana kbsa[emoji29]Kama ushaona ni asili yake bas ona hayo ni kama mapungufu yake uyazoee huwez pata mtu perfect labda umuumbe mwenyewe.
uHabari wakuu
Niko kwenye usahili wa kutafuta mwanamke wa kuoa mnamo mwakani kama Mungu atajaalia.
Sasa kuna binti ambae anaongoza kura za maoni mpaka sasa kukabidhiwa nafasi hiyo,Ila kiukweli ana changamoto kadhaa ambazo naziona kama kikwazo kwangu.
1-Kwa kua amekulia katika mazingira ya utafutaji tangu anakua yani ni kama imempunguzia ule uromantic wa kike+ na asili yao ni watu wa kanda maalumu(Mara).
2-Unaweza mtumia pesa au chochote ila hawezi sema asante au nimeipata mpaka umuulize
mfano leo asubui nimemnunulia kifurushi ila hata kujibu kwamba nimeipata hamna na sio kwamba hanipendi ila tu ndo asili yake.
Binafsi naona kumwambia siwezi ila naona tu nipige chini japo hana sifa zingine mbaya.
Ushauri tafadhali
mzoeshe au mwambie awe vile unataka kumbadili mtu mzima mliekutana ukubwani ni kaz kubwa tu nenda naye tu uyazoee hayoDah yan kizuri kwake ni kuwa hana shobo na wanaume ila sasa mambo mengine yale ya kimahaba mahaba ndo hana kbsa[emoji29]
Asa kweli umfundishe na mtu kusema asante dahu
.nazani wataka malaika wewe.
Yan unaeza peleka mdomo kumkiss akaona kama unataka kumfanya cjui nn[emoji3]mzoeshe au mwambie awe vile unataka kumbadili mtu mzima mliekutana ukubwani ni kaz kubwa tu nenda naye tu uyazoee hayo
Dah kwamba niwe namwambiaHilo tu unataka kupiga chini? Mbadilishe awe unavyotaka, uwezo huo unao Anza sasa
Mwambie akibadilika oa hasipobadilika tafuta mwingine kila mtu anamapungufu tena ayo mbona madogo yanarekebishika tu
Note: hakikisha wewe ni mbabe zaidi yake kwenye makonde hasije kukugecha
Hujitambui aslani walahiHabari wakuu