Hiyo ni sawa wale wanawake wa kimboka kuwa wanafanya haramu Ila usichojua kuna asilimia zinaenda kwa wakubwa
So huyo yupo hapo Ila kina m hela inaenda sehemu husika , sio kwamba huo u on go Serikali haijui inajua vizuri.
Au ni sawa na zile buku Mbili huchukua traffic sio kuwa Serikali haijui .
So IPO hivyo
Hakuna illegal business ambayo inafanyika serikai haijui haipo na haijawaiga kuwepo
Ukiona MTU kakamatwa ujue maslahi hayakwenda sawa.