Huyu ni Nani?

nifah ukuje huku shoga angu tuwe makini na pozi zetu...maana hatujui tutakua nanii mbelenii!!
 
Hebu mwenye udhibitisho aseme wazi huyu ni Dr Tulia au tunamsingizia tu. Ukitazama hiyo picha amefanana naye sasa sijui ni watu tu wanataka kuzua mambo au pengine kweli muheshimiwa alipiga hiyo picha enzi za ujana wake.
Sasa kama we unajua si u-tulie bwana aaagh, we tulia kabisa atakuja mwenyewe kuthibitisha na atatuambia hiyo picha alipiga akiwa wapi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…