huyo jamaa noma, watu wanasema alikuwa mkali wa football, lkn ukweli mwingine ni kuwa jamaa alikuwa mkali wa tennis mby! Canada kuna siku maalum ya huyo mtu! wengi hawajui, katika video yake ya "IS THIS LOVE (1978)" kuna mrembo mmoja mkali sana, baadae akaja kuvuma duniani kama NAOMI CAMPBELL! Huyo mtu sio wa kawaida!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.