MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,991
Huyu mmoja kati ya kikundi cha watu ambacho kila Lowassa alipo na yeye yupo!
Ameanza kuonekana sana akiambatana na Lowassa katika hadhara tangu siku ambayo Lowassa aliamua kuachana na CCM!
Alishiriki kwa karibu katika kampeni za Urais kwenye timu ya Lowassa mpaka wengine wakadhani ni mmoja wa walinzi binafsi (bodyguard) wa Lowassa!
Kabla ya kujiunga na Lowassa alikuwa akionekana mara nyingi kwenye matamko ya Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini.
Huyu ni nani na ana uhusiano gani na Lowassa?
Kuuliza si ujinga!
John Guninita na Khamis Mgeja wakitangaza kujiunga na Chadema katika ukumbi wa Idara ya habari Maelezo jijini Dar es Salaam.