mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa akiniambia tufanye ila mimi nilikuwa namzungusha nikimwambia anisubiri ila kiukweli alinivumilia na mimi niya ilikuwa kutokufanya naye mapenzi mpaka anioe ila kwasasa mwenzangu ananilazimisha sana kufanya naye wakati tulishaongea tangu hapo awali kabla ya kufanya mapenzi tupime ukimwi kwanza ndo tutafanya mapenzi lakini mwenzangu anasema hawezi kufanya katika maisha yake hilo suala la kupima kwani halina maana kwake na yeye haonyeshi suala lolote la kutaka labda kunioa.
Je huyu mwanaume ana nia gani na mimi????

Mahusiano ni makubaliano ya watu wawili
Kama unaona amekiuka makubaliano hili ni suala la wewe either kukubaliana nae au ukatae kukubaliana nae,hata tukikupa ushauri wowote ule bado maamuzi ni yako
Hapa jiulize ni kwanini usubiri hadi ndoa?
Kwanini msipime sasahivi?
Kwanini anakataa kupima?
Kupima kuna faida gani nawewe?
Je mkishapima ndo mtakuwa waaminifu?
Baada ya kupima tutakuwa na msimamo kiasi gani?
Kusubiri hadi ndoa kuna maana gani?
Mtu akisubiri hadi ndoa ndio anakuwa muaminifu?
Pia kuna mambo ya kujiuliza kuhusu future yenu usiangalie tu kwenye ngono
Je,ana hadhi ya kuwa baba?
Je anajua ni kwanini anakuoa?
Je anajua umuhimu wa mwanamke?
Je anajua maana ya ndoa?
Je anajua uzito wa kuwa baba?
Mambo ya kujiuliza ni mengi sana cha msingi ni wewe tu kuchukua muda wa kujiuliza kama unaijua ndoa na masuala mazima yanayohusu familia!!!!!

Sasa tukupe ushauri gani? Haya basi ngoja nikushauri. Usikubali kufanya nae mapenzi mpaka apime.
Mahusiano ni makubaliano ya watu wawili
Kama unaona amekiuka makubaliano hili ni suala la wewe either kukubaliana nae au ukatae kukubaliana nae,hata tukikupa ushauri wowote ule bado maamuzi ni yako
Hapa jiulize ni kwanini usubiri hadi ndoa?
Kwanini msipime sasahivi?
Kwanini anakataa kupima?
Kupima kuna faida gani nawewe?
Je mkishapima ndo mtakuwa waaminifu?
Baada ya kupima tutakuwa na msimamo kiasi gani?
Kusubiri hadi ndoa kuna maana gani?
Mtu akisubiri hadi ndoa ndio anakuwa muaminifu?
Pia kuna mambo ya kujiuliza kuhusu future yenu usiangalie tu kwenye ngono
Je,ana hadhi ya kuwa baba?
Je anajua ni kwanini anakuoa?
Je anajua umuhimu wa mwanamke?
Je anajua maana ya ndoa?
Je anajua uzito wa kuwa baba?
Mambo ya kujiuliza ni mengi sana cha msingi ni wewe tu kuchukua muda wa kujiuliza kama unaijua ndoa na masuala mazima yanayohusu familia!!!!!
Mkataa pema pabaya panamuita..... Utakuja kumkumbuka sana..... kwani wewe umempa mtiahni wa muda mrefu na ameweza then na yeye kakupa wake unashindwa... acha ukorofi na inaelekea na vyake umekuloa sana... hii ni Tabia ya wasichana wengi wasiowapenda wanaume ndio huwafanyia hivyo....mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa akiniambia tufanye ila mimi nilikuwa namzungusha nikimwambia anisubiri ila kiukweli alinivumilia na mimi niya ilikuwa kutokufanya naye mapenzi mpaka anioe ila kwasasa mwenzangu ananilazimisha sana kufanya naye wakati tulishaongea tangu hapo awali kabla ya kufanya mapenzi tupime ukimwi kwanza ndo tutafanya mapenzi lakini mwenzangu anasema hawezi kufanya katika maisha yake hilo suala la kupima kwani halina maana kwake na yeye haonyeshi suala lolote la kutaka labda kunioa.
Je huyu mwanaume ana nia gani na mimi????
kiukwel sijawahi kufanya mapenzi ata siku 1 na yeye analijua hilo na siyo kwamba nilikuwa nambania tatizo ata kwa mda huu naweza fanya naye ila kupima ataki kabisa.Na wewe nawe!
Kum'bania mwenzio zaidi ya miaka sita ndio nini sasa?
Ningekubaliana na wewe if uko bik.ra!
Kinyume na hapo haya mawingu umetengeneza mwenyewe, usiogope mvua na radi!
Huyo b.frnd wako keshashauriwa na frnd zake, asipokuramba yeye ni bo.ya!
M'banie hivyo hivyo! Hakuna mapenz tena! Apo ni KISASI KWA KWENDA MBELE!!!!
Pole tu!