Huyu ni mwanaume mkweli!!!!

Huyu ni mwanaume mkweli!!!!

Jiulize, ana sababu gani ya kuogopa kupima UKIMWI kama kweli anakupenda kwa dhati na yeye pia anaipenda afya yake? Kuna kitu hapa. Fungua akili, usikubali kuingia kwenye shimo kizembe hivyo. Hataki kupima, achape lapa!
asante kwa ushauri sababu mwenyewe huwa nakosa raha nakujiulza kwanini akatae kupima ina maana ananiamini mimi sana kuliko maisha thank for your advice!
 
kiukwel sijawahi kufanya mapenzi ata siku 1 na yeye analijua hilo na siyo kwamba nilikuwa nambania tatizo ata kwa mda huu naweza fanya naye ila kupima ataki kabisa.

....
(Duh! Mwenyewe ukinitajia kupima unanireti down!!)
Hahahahahaaaa!
....
Kama hataki kupima usimpe kipochi chako!
Hata kwa ndomu uskubali!
Ebbo! Atakataaje kupima!!?
 
Mahusiano ni makubaliano ya watu wawili

Kama unaona amekiuka makubaliano hili ni suala la wewe either kukubaliana nae au ukatae kukubaliana nae,hata tukikupa ushauri wowote ule bado maamuzi ni yako

Hapa jiulize ni kwanini usubiri hadi ndoa?
Kwanini msipime sasahivi?
Kwanini anakataa kupima?
Kupima kuna faida gani nawewe?
Je mkishapima ndo mtakuwa waaminifu?
Baada ya kupima tutakuwa na msimamo kiasi gani?
Kusubiri hadi ndoa kuna maana gani?
Mtu akisubiri hadi ndoa ndio anakuwa muaminifu?

Pia kuna mambo ya kujiuliza kuhusu future yenu usiangalie tu kwenye ngono
Je,ana hadhi ya kuwa baba?
Je anajua ni kwanini anakuoa?
Je anajua umuhimu wa mwanamke?
Je anajua maana ya ndoa?
Je anajua uzito wa kuwa baba?

Mambo ya kujiuliza ni mengi sana cha msingi ni wewe tu kuchukua muda wa kujiuliza kama unaijua ndoa na masuala mazima yanayohusu familia!!!!!


Sipati picha wakati unaandaika haya maneno ulikuwaje he he he he ndo maana naipenda jf
 
Vitu vingine mi huwa naona ni story tu.
6 yrs, duuh!! Huyo jamaa hana sera kbs.
 
"don't make yourself square into the round peg"
 
usikubali kumpa kipochi manyoya chako si ajabu ana maradhi huyo
 
Dada pole sana,kuwa makini na jamaa yako,angekuea na nia ya kukuoa angeendelea kukusubiri na kuvumilia,pili ogopa hasa anapokuambia hana haja ya kupima ukimwi,huyo bila shaka anao anataka akumwagie kisha asepe,kwa maana kama nia ingekuwa ni kutaka mapenzi na umempa sharti la kupima mbona hilo rahisi tu,ningekuwa mimi wala nisingelaza damu,kuwa makini,jk alisema akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
mimi ni binti wa miaka 23 ninasoma chuo kiukweli kuna mvulana ambaye nilikuwa na mahusiano naye tangu mwaka 2007 kwenye mahusiano yetu hatukuwahi kufanya mapenzi ata siku moja hata hivyo alikuwa akiniambia tufanye ila mimi nilikuwa namzungusha nikimwambia anisubiri ila kiukweli alinivumilia na mimi niya ilikuwa kutokufanya naye mapenzi mpaka anioe ila kwasasa mwenzangu ananilazimisha sana kufanya naye wakati tulishaongea tangu hapo awali kabla ya kufanya mapenzi tupime ukimwi kwanza ndo tutafanya mapenzi lakini mwenzangu anasema hawezi kufanya katika maisha yake hilo suala la kupima kwani halina maana kwake na yeye haonyeshi suala lolote la kutaka labda kunioa.
Je huyu mwanaume ana nia gani na mimi????
Zipo story zinazomtatisha kuhusu nyie kina dada. Wapo wenye k zenye harufu kali! So unataka kumuuzia mbuzi kwenye gunia?
 
Back
Top Bottom