Huyu ni mpenzi au bomu la machozi?

Huyu ni mpenzi au bomu la machozi?

we kweli mwanaume au mnasagana??miaka mitatu unaona kabisa mwenzio hana mwelekeo eti unabaki kulialia.....kuna siku ataingiza mwanaume ukiwa ndani.man up and take control of your life,kama kweli una ushahidi piga chini fasta.
 
Baba yangu mdogo aliwahi kuniambia, "MWANAUME UKIFIKIA HATUA YA KUTOA MACHOZI MBELE YA MWANAMKE WAKO BASI KWISHA HABARI YAKO".
 
Mkuu unachelewa sana kufanya maamuzi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom