Kibirizi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 604
- 149
Mimi nina mahusiano na binti mmoja kwa sasa mahusiano yetu yamefikia miaka mitatu. Lakini cha kushangaza kila ninapokutana naye lazima nitoke machozi, yaani lazima atapigiwa simu ambazo zinanikwaza na nikijaribu kudadisha mwisho wa siku lazima nitoke machozi. Pia nikikagua simu yake lazima nitakuta meseji ambazo zitanitoa machozi.
Kwangu huyu amekuwa zaidi ya bomu la machozi sasa nashindwa kuelewa huyu ni nini hasa, msaada tafadhari yaani mpaka naogopa kukutana naye.
Kwangu huyu amekuwa zaidi ya bomu la machozi sasa nashindwa kuelewa huyu ni nini hasa, msaada tafadhari yaani mpaka naogopa kukutana naye.