Huyu ndo shemeji yako!

Joined
Jul 17, 2018
Posts
50
Reaction score
43
Habari wanajukwaa

Kuna dada mmoja ni rafiki yangu wa kawaida tu ila kuna siku aliwatambulisha rafiki zake kuwa mm ni shemeji yao kama kwa kutania.
Ila leo huyo dada kaja na mwanaume na kunitambulisha kuwa ndo SHEMEJI YANGU JE nifahamuje kuhusu huyu dada?
 
nafasi umeshindwa kuitumia kashapewa mwenzako, kaa kimya
 
Sasa wewe unataka ufanye nini wakati sio mtu wako au ulitaka iwe ukweli ukwelii..roho inakuuma
 
Mpongeze Kwa kukutambulisha na hatua aliofikia na umtakie mahusiano mema. Usiumize kichwa kwasababu hakuwa demu wako na hukumtongoza umesema rafiki yako shida IPO wapi kutambulishwa
 
Mbona simple tu. Mpotezeee.. whatever it is mwache na huyo.mwanaume wake.
 
Huyu jamaa inaonyesha hakutongoza lakini alipotambulishwa akajipa moyo kuwa tayari ameshakubaliwa sasa katambulishiwa yeye roho inamuuma
Ni kweli kabisa. Na nnavyowajua hawa dada zetu usikute hajapata mtu ila alikuwa anamrusha roho tu. Sasa dawa yake ni jamaa kufanya kama nilivyoshauri hapo juu. Hata kwa kuigiza tu
 
Unhetumia fursa Tangu mwanzo tatiz ulizembea
 
Tatizo lako nini? Si umesema alikuwa anakutambulisha kwa kutania?
Acha kuwa na wivu, uliyetambulishwa ni ndiye anayekula mzigo.
 
Mwonekano wako unavutia so alikua anauza sura tu kwa rafik zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…