Huyu ndo ndege anayekuelekeza asali ilipo

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,401
Reaction score
7,900
HONEY GUIDE ni ndege ambaye anakuelekeza asali ilipo.Masai wanaotafuta asali porini hupiga mluzi kumuita Honey guide.nae hutoa ishara ya sauti na kuruka mti Hadi mti kukuonyesha nyuki walipo ili utoe asali.

Honey guide hana uwezo wa kutoa asali bali anakuonyesha ili ukitoa umewekee Sega nae ale kwasababu anapenda Sana mayai ya nyuki na watoto wa nyuki.Honey guide ni ndege pekee ambaye tumbo lake linameng'enya nta(digest wax).

Akikuelekeza asali ilipo alafu ukazingua usimpe hata kidogo anakasirika,siku nyingine anakupeleka kwenye mnyama mkali Kama Simba,dume la tembo,au chui.
FB_IMG_1632863869780.jpg
 
View attachment 1956648
Aisee
 
Akikuelekeza asali ilipo alafu ukazingua usimpe hata kidogo anakasirika,siku nyingine anakupeleka kwenye mnyama mkali Kama Simba,dume la tembo,au chui.😂😂😂😂
 
Akikuelekeza asali ilipo alafu ukazingua usimpe hata kidogo anakasirika,siku nyingine anakupeleka kwenye mnyama mkali Kama Simba,dume la tembo,au chui.
😂😂😂😂😂 Sasa atanijuaje kuwa mm ndio niliemnyima asali? Ama anauwezo wa kukumbuka sauti za watu
 
Ila naye anatoa adhabu kubwa sana...
Mwambieni apunguze.
Sasa kwanini ukizingua kumpa asali akuelekeze kwa simba au chui!!?
Si akupeleke hata kwenye matope au miiba!!.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom