Huyu ndo nabii Joseph Kibwetele

Waliotangulia motoni wamjengee sanamu huyu mwamba..maana kawazidi unyambisi[emoji23]
 
Ndiko wafuasi wa bwana pilipili wanakoelekea uko
 
Huyu alikosea katika njia yake ya kupata hela...
Angeingia chama cha m7 na gia ya kwa jina la ....
Angekuwa kama Gwaji boy sasa hivi...
Eniwei...wakati ukuta.........
 
Aliwakomesha haswa

Yeye kala kona

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…