Huyu ndo mwanaume naemtaka

Ikitokea hujapata kabisa mtu mwenye hizo sifa utafanyaje? utakufa single?


kwa taarifa yako wote wenye vigezo hivyo wameshakuwa waume za watu! MTAFUTE MWENYE SIFA MOJA TU HAPO KISHA MENGINE ATAYAPATA MKIWA PAMOJA! ila usitegemee kupata ready made!
 
Embu fanya kunicheki,japo sijasoma ulichoandika,k.vant ni noma saaaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…