Huyu ndiyo waziri wa serikali yetu

Huyu ndiyo waziri wa serikali yetu

CHANGA

Member
Joined
May 26, 2008
Posts
99
Reaction score
27
Huyu ndiye Waziri (Sijui kama bado Waziri) katika serikali yetu. Dowans, matokeo mabaya ya F4 na matatizo kibao ya nchi, lakini jamaa anahangaika na vibinti. Hata kama ni muda wake binafsi na hata kama ni maisha yake binafsi nadhani huu sio muda mwafaka kwani kuna kilio kila mahala kutoka kwa wananchi wa nchi hii. Shame!!!!!
 

Attachments

  • Kapuya.jpg
    Kapuya.jpg
    126.8 KB · Views: 3,010
Huyu ndiye Waziri (Sijui kama bado Waziri) katika serikali yetu. Dowans, matokeo mabaya ya F4 na matatizo kibao ya nchi, lakini jamaa anahangaika na vibinti. Hata kama ni muda wake binafsi na hata kama ni maisha yake binafsi nadhani huu sio muda mwafaka kwani kuna kilio kila mahala kutoka kwa wananchi wa nchi hii. Shame!!!!!

Changa huyo jamaa hayuko tena kwenye serikali hii yetu ya kifisadi na uongo tele kwa wananchi! kwakua sasa hivi hana tena majukumu kwa wananchi ndio kama unavyomuona kwenye hiyo picha, jiulize wakati akiwa waziri alikua anafanya nini saa kama hizo za usiku? nikua walinzi wake walikua wanamlindia siri tu! Bongo Mwendo Mdundo baba!
 
Shameless Kapuya! You should know better and behave a little bit like a public figure!:A S thumbs_down:
 
ndo alikua waziri wa elimu huyu, yan huyu nazan atakua sawa sawa kwa akili na profesa maji marefu aise
 
Sisiemu ilikua enzi za mwalimu
Now wamebakia wale aliowaachia laana!!!
 
Mnashangaaa sasa hivi Mbona mwaka Jana Mwezi wa Sita tulikuwa tunacheza naye Akudo pale Jeshi Msasani Club ma Vibinti Kibao anakuwaga na Vijizi vikina Mwopao, Ndama Mtoto wa Ngombe, Predeshe Papa Msofe pamoja na vijana wengine Makuadi wa wasichana na wake za watu, mze huyu Gazeti la Ijumaa lilikuwa linamlinda akiwa waziri sasa katemwa eti ndio wanampiga picha namshangaa Eric Shigo... kwa kumuandika leo hii. Mimi nishaacha kwenda Miziki sijui yeye anaendelea maana kesho natimiza 39 kamili
 
mmmmmhhhhhh,hii ni aibu.....mtu mzima ovyo ndo hiyo sasa :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Alhaji Prof. Kapuya anabamba...sasa sijui wajukuu zake na vitukuu vyake vinajifunza nini?
 
Back
Top Bottom