Huyu ndiyo Obama bhana, First Black President!

Huyu ndiyo Obama bhana, First Black President!

Yani majungu yametujaa watanzania, we vya Obama na Mohamed Ali vinakuhusu ama kukusaidia nini? Mfano angeenda wewe ungewakilishwa vipi pale. Matatizo ya nchi yenu yanakushindeni unakalia kumsema Obama kukuabisha. Hebu jadili budget ya nchi yako maana kidogo ina athari kwako kuliko mazishi ya Mohamed Ali na kutokuhudhuria kwa Obama.
 
Wakati Dunia nzima inaangalia na kuhuzunika kuhusu mazishi ya Mohamed Ali, Raisi Obama amefanya kile ambacho hukifanya siku zote usanii, ameenda kwenye comedy show na hii ni leo 09/06/2016 siku ambayo Mohamed Ali anazikwa na kuanza kuimba kuhusu ndoa za jinsia moja USA baby wapi heshima kwa huyu hero wa mankind? Kwa nini hata asingeenda kesho au Jumatatu?

Fikiria Raisi wa Uturuki Tayyip Erdgon ameacha shughuli zake na ameruka mpaka USA kwenda kuwahi mazishi ya Ali lkn huyu anayejiita first black President ingawaje siyo black man bali ni mchotara yuko busy kwenye talk shows, nakumbuka wkt anaomba kura kwa watu weusi mpaka aliandika kitabu humo ndani full mauongo, watu weusi walimkingia kifua Obama kila mahali wengine mpaka waligeuza siku anaapishwa kuwa ya mapumziko lkn Obama amewarudishia nini? Hata tu kumuheshimu mtu kama Mohamed Ali aliyejitolea mengi sana kwa ajili ya kupigania hali ya mtu mweusi USA hata hilo hajafanya Obama, amempa mtu mweusi Dharau tu na hakuna kingine labda kuna la kujifunza hapa watu weusi siku nyingine msikubali kutumiwa kama kiatu, sasa Obama ameshamaliza kukivaa na anakitupa hakumbuki hata kama kilimfaa!

Hapa full kicheko kwenye comedy show na hii ni leo siku ya mazishi ya hero wa Black man!
2,w=559,c=0.bild.jpg

​

Hapa chini ni wakati wa mazishi ya Mandela Obama yuko busy na selfie na wala hana habari, hata Wazungu walikuwa na huzuni lkn siyo huyu mchotara!
525342187.jpg

Pole sana, hujui unalolisema, ukikua utaelewa!!
 
Lakini jamani this's so not fair, yaani mmeweka picha watu wako msibani wanacheka wakati Barbarosa anamlilia Ally?!, not fair people. Not fair for him. Tulitakiwa wote tulie. 🙂

Halafu mleta uzi Obama ni chotara ndio but he's considered black.
It's all about one drop rule baby!
 
Mbona usihoji hiyo 09/06 BBC wasionyeshe mazishi ya Ali live na badala yake wameonyesha birthday ya queen, nadhani Westerns wanasherehekea zaidi life kuliko death tofauti na ilivyo kwetu Africans, by the way Obama kama ilivyo kwa wakuu wengi wa nchi yuko guided zaidi na Presidential Protocols PPs kuliko maamuzi binafsi
 
Ni wewe tu unayeacha kushabikia mambo ya familia yako Na kifuatilia ya watu Obama ni rais lazima afate protocol na ratiba zake anazopangiwa kwa ajili ya ulinzi na usalama wake Ali alikuwa umaarufu kame wengine waliokufa Michael Jackson Martin Luther King Na akuna marais waliowazika. Yeye alienda kwenye shughuli ya mwanae Familia kwanza
 
duuh mi sijaona mleta uzi alipokosea, na obama kwenda kweny msiba sio lazma lakn msiba wa mtu mweusi mwenzie kama mo'ally sio busara, afadhal ingekua ametingwa na ofc lakn sio et anakula vicheko kwny tv kama hvo.
 
Mijitu ya Lumumba ni ushwashwa nyie acheni. Unafikiri uswahilini kule kwamba akifa msanii wa taarab basi shughuli zote zinasimama eti? Akifa mtu mmoja hapa basi serikali yooote inahamia msibani as if tukijazana wote pale marehemu atafufuka.
 
Wakati Dunia nzima inaangalia na kuhuzunika kuhusu mazishi ya Mohamed Ali, Raisi Obama amefanya kile ambacho hukifanya siku zote usanii, ameenda kwenye comedy show na hii ni leo 09/06/2016 siku ambayo Mohamed Ali anazikwa na kuanza kuimba kuhusu ndoa za jinsia moja USA baby wapi heshima kwa huyu hero wa mankind? Kwa nini hata asingeenda kesho au Jumatatu?

Fikiria Raisi wa Uturuki Tayyip Erdgon ameacha shughuli zake na ameruka mpaka USA kwenda kuwahi mazishi ya Ali lkn huyu anayejiita first black President ingawaje siyo black man bali ni mchotara yuko busy kwenye talk shows, nakumbuka wkt anaomba kura kwa watu weusi mpaka aliandika kitabu humo ndani full mauongo, watu weusi walimkingia kifua Obama kila mahali wengine mpaka waligeuza siku anaapishwa kuwa ya mapumziko lkn Obama amewarudishia nini? Hata tu kumuheshimu mtu kama Mohamed Ali aliyejitolea mengi sana kwa ajili ya kupigania hali ya mtu mweusi USA hata hilo hajafanya Obama, amempa mtu mweusi Dharau tu na hakuna kingine labda kuna la kujifunza hapa watu weusi siku nyingine msikubali kutumiwa kama kiatu, sasa Obama ameshamaliza kukivaa na anakitupa hakumbuki hata kama kilimfaa!

Hapa full kicheko kwenye comedy show na hii ni leo siku ya mazishi ya hero wa Black man!
2,w=559,c=0.bild.jpg

​

Hapa chini ni wakati wa mazishi ya Mandela Obama yuko busy na selfie na wala hana habari, hata Wazungu walikuwa na huzuni lkn siyo huyu mchotara!
525342187.jpg

Hiyo clip ni bonge la show, inaonekana mazoezi walifanyia White House.
 
😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

"Ali told me, am the greatest"....Will Smith, gettin' Jiggy wit it...

Will Smith - Gettin' Jiggy Wit It:

Back
Top Bottom