Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wakati Dunia nzima inaangalia na kuhuzunika kuhusu mazishi ya Mohamed Ali, Raisi Obama amefanya kile ambacho hukifanya siku zote usanii, ameenda kwenye comedy show na hii ni leo 09/06/2016 siku ambayo Mohamed Ali anazikwa na kuanza kuimba kuhusu ndoa za jinsia moja USA baby wapi heshima kwa huyu hero wa mankind? Kwa nini hata asingeenda kesho au Jumatatu?
Fikiria Raisi wa Uturuki Tayyip Erdgon ameacha shughuli zake na ameruka mpaka USA kwenda kuwahi mazishi ya Ali lkn huyu anayejiita first black President ingawaje siyo black man bali ni mchotara yuko busy kwenye talk shows, nakumbuka wkt anaomba kura kwa watu weusi mpaka aliandika kitabu humo ndani full mauongo, watu weusi walimkingia kifua Obama kila mahali wengine mpaka waligeuza siku anaapishwa kuwa ya mapumziko lkn Obama amewarudishia nini? Hata tu kumuheshimu mtu kama Mohamed Ali aliyejitolea mengi sana kwa ajili ya kupigania hali ya mtu mweusi USA hata hilo hajafanya Obama, amempa mtu mweusi Dharau tu na hakuna kingine labda kuna la kujifunza hapa watu weusi siku nyingine msikubali kutumiwa kama kiatu, sasa Obama ameshamaliza kukivaa na anakitupa hakumbuki hata kama kilimfaa!
Hapa full kicheko kwenye comedy show na hii ni leo siku ya mazishi ya hero wa Black man!
Hapa chini ni wakati wa mazishi ya Mandela Obama yuko busy na selfie na wala hana habari, hata Wazungu walikuwa na huzuni lkn siyo huyu mchotara!