Huyu ndiyo Lowasa, Jionee Mwenyewe!

Huyu ndiyo Lowasa, Jionee Mwenyewe!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Eti huyu ndiyo anataka kuwa Raisi wa JMTZ!







 
Last edited by a moderator:
Wapiga kura wengi ni wagonjwa sana na wanataka mgonjwa mwenzao walahu akawasaidia kuliko wapiga pushups...!!!
 
Huyo Huyo Huyo anajua Machungu Huyo Huyo Lowassa CHAGUO letu
 
hivi ni lini utaacha kujitia vidole mwenyewe huku ukiwa unachekelea kwa kujfanyia kitendo hicho?
 
Eti huyu ndiyo anataka kuwa Raisi wa JMTZ!









Ana bahati huyu mr. Angeshinda kwa ticket ya ccm angetukanwa matusi yote ya hapa Duniani. kwa matusi cdm nawaaminia
 
Last edited by a moderator:
..kura nampa lowassa, nyie hangaikeni weee mkimaliza kura yangu nasema ni ya lowassa..
Hatutaki Raisi mkurupukaji aje aseme anavunja ikulu eti iko karibu na bahari ikitokea tsunami atakua wa kwanza kufa..!!
forget it.
 
Back
Top Bottom