Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Hapo kwa Kimnana pamenivutia..

Nimekumbuka kuna kipindi aliwahi kutusongea Ugali tukala na mbuzi pale Sinza (aliwahi kuishi Manyara Hotel).. Hata jina la Kimnana alijipachika kutoka kwa binti fulani hivi amecheza tamthiliya ya Kikorea inaitwa City Hunter kama sikosei..

Nilijua ipo siku na yeye atakuwa dada wa mjini. Stori zake tu.
Kapicha please
 
Ila ile ya Wema na Uwoya kwenda kwa Zamaradi haikua kwa ajili ya Jokate ilikua kwa ajili ya Wolper... walimtukana sana kua mshamba na kejeli kama zote naikumbuka hiyo siku maana niliwashusha sana hadhi.

Penny kutoka na Mondi ilikua revenge ya Wema kutoka na bwana wa Penny, halafu huyu Penny nae ni blender ya jiji ila kimya kimya, lol.

Aunty hajawahi kutoka na Mondi
 
mwanaume kamili tena kijana damu inachemka ujilete hakuachi katu, lazima alenge penalty.

Hao wote uliza nani alitongozwa?

Ndo utapata jibu tatizo si jamaa bali hao ni vibao vya mbuzi
 
LEO KWA MARA YA KWANZA TEAM PUGI WANAKUBALIANA KUWA ZARI NDIE ALIEMUACHA DAIwonders shall never end

This is JF bana,where the fools,stupid,clever,intelligence etc share and exchange experinces
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom