Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Mbona hizo ni kawaida tuu,hata huku mitaani kwetu wadada wanajigonga sana.Wewe tafuta shughuli ya kufanya ambayo itakuwezesha kuendesha maisha utaona slay kwini wa mtaa wako watavyokusumbua.
 
Reggae
42966453_178107773039468_4362183058751251245_n.jpg
 
Ngoja nipunguze stress za kupotea Mo dewji (nampenda sana huyu jamaa)na kuuguza miye humu jf
Aliachwa Aunty,Akala Wema mahaba yakawa km yotee wakagombana akaenda kutoka na jokate enzi hizo Wema na jokate mashosti,ushosti ukaisha....mpk akaenda kumchamba Jokate kwa Zamaradi Wema alienda na Uwoya siku hyooo...


Akamtema Jokate akarudi kwa Wema tena akamla Uwoya mpk shigongo akawapiga picha za hotel waliyolala...Ushoga ukafa kati ya Wema na Uwoya...

Mondi akaona haitoshi akamuacha Wema akaja kumla Penny ambae na Wema walikua wanavaa Sare sare ushosti kama wote..ndio enzi hizo IG inaanza Penny ndo binti wa kwanza kutukanwa kwenye mitandao ya kijamii kama sikosei kwa sababu ya bwana na ndo mambo ya team yakaanza wakaachana mondi akarudi kwa Wema tena walienda kurudiana Chinaaa picha zikavujaa...Penny akaumacha mondi ...mwishowe sasa ushoga ukafa....!!!!
Alivyoachana na Wema akaja kwa Zari

Kwa Zari akamla Huddah,huddah na Zari ushoga ukafa...huku anamla hamissa,officiallylin na tunda(japo hawana ushoga na Zari)

Zari kamtema akawa na Hamissa kw hamissa katemwa anamla shoga ake hamissa anaitwa kimnana... Kimnana ndo shemela mpya kwa diamond kwa sasa na familia yaonekana imempitisha rasmi!!!!!

Sijajua anaonaga nini kwa mashemeji zake mpk awe anawala jamaniii!!!

Haya sasa nasubiri team sasa zianze matusi!!!
Wanajilengesha
 
Unaweza ukaona mondi ni malaya wakati na wewe ukituliza akili ukakumbuka wa kwako basi unajaza yutong
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom