Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Ngoja nipunguze stress za kupotea Mo dewji (nampenda sana huyu jamaa)na kuuguza miye humu jf
Aliachwa Aunty,Akala Wema mahaba yakawa km yotee wakagombana akaenda kutoka na jokate enzi hizo Wema na jokate mashosti,ushosti ukaisha....mpk akaenda kumchamba Jokate kwa Zamaradi Wema alienda na Uwoya siku hyooo...


Akamtema Jokate akarudi kwa Wema tena akamla Uwoya mpk shigongo akawapiga picha za hotel waliyolala...Ushoga ukafa kati ya Wema na Uwoya...

Mondi akaona haitoshi akamuacha Wema akaja kumla Penny ambae na Wema walikua wanavaa Sare sare ushosti kama wote..ndio enzi hizo IG inaanza Penny ndo binti wa kwanza kutukanwa kwenye mitandao ya kijamii kama sikosei kwa sababu ya bwana na ndo mambo ya team yakaanza wakaachana mondi akarudi kwa Wema tena walienda kurudiana Chinaaa picha zikavujaa...Penny akaumacha mondi ...mwishowe sasa ushoga ukafa....!!!!
Alivyoachana na Wema akaja kwa Zari

Kwa Zari akamla Huddah,huddah na Zari ushoga ukafa...huku anamla hamissa,officiallylin na tunda(japo hawana ushoga na Zari)

Zari kamtema akawa na Hamissa kw hamissa katemwa anamla shoga ake hamissa anaitwa kimnana... Kimnana ndo shemela mpya kwa diamond kwa sasa na familia yaonekana imempitisha rasmi!!!!!

Sijajua anaonaga nini kwa mashemeji zake mpk awe anawala jamaniii!!!

Haya sasa nasubiri team sasa zianze matusi!!!
weka picha
 
Ukishakuwa maarufu na tuhela twa kutosha, hawa mademu huwa wanajileta wenyewe tu. Ni ngumu sana kwa mwanamume ku resist temptations za mademu....hasa "wakali". Uanaume tabu sana. Namuelewa sana Mondi.
 
Ningekua Mondo ningetangaza kuwa nahitaji kuona, ila demu awe shombeshombe wa kinyarwanda na sealed,.
 
Mi naona aendelee kupiga hasa,ahakikishe anapiga kila anayemtaka hadi rekodi iwe ndefu zaidi,baadhi ya madada wa mjinjini huwa wanajifanya wanyanyasaji sana mwanaume akiwa hana hela,sasa Mond anazo,kujumlisha na umaarufu.
Inamaana WCB pale,Aunty Ezekiel wa Iyobo akitaka kumgomga ni suala la kumkonyeza tu,anamla.Wolper aliyekua wa Harmonize,akitakwa na Mond ni suala la kuvutwa tu analambwa,duuh! jamaa anatendea haki umaarufu wake.
 

Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom