Wakuu sekunde hii hii ya leo au miaka hiyo sekunde ilikua inehesabika tofauti??
Ngumi nzito zenye kumsukuka mtu mzima umbali fulani, ndoige 6 kwa sekundee.???
Jamaa alikua jini au binadamu kama sisi? Kuna yeyote aliewahi walau kuikaribia hiyo rekodi??