Ninachotaka kusisitiza hapa ni kwamba, wale wanaoomba nafasi ya urais hawapaswi kutuhumiwa kwa jambo lolote. Hawapaswi kutiliwa mashaka kuhusu uadilifu wao. Wanapaswa kuaminiwa kuhusu dhamira yao ya kupiga vita ufisadi na rushwa.
Na wagombea hawa tunaweza kuwajua kutokana na hulka au tabia za marafiki zao Watanzania tukumbuke kwamba utumishi wa umma ni dhamana na fursa adhimu kwa ajili ya kulinda na kutetea maslahi ya wananchi wote. Na ni dhahiri kuwa kwa sifa hizo JOHN POMBE MAGUFULI ndiye anatufaa kama watanzania na ni kiongozi asiye tiliwa shaka kwa namna yeyote ile.
‪
#‎HapaKaziTu‬‪#‎Tumekusikia‬