Huyu ndiye Rais wangu mimi na wewe

Wewe ndiye unaeamini kuwa Magufuli ni kiongozi asiyetiliwa shaka. Mimi siamini hivyo, We mpe kura yako Magufuli mi nampa kura yangu Lowassa. Simple tu. Bado maamuzi ni yangu wala sihitaji ushawishi kama huu.

Unadanganya hapa unajua sana sema mnafuata mkumbo
 
Kununua meli ya bilion 8 mbovu, inayochukua masaa 3 kutoka bagamoyo mpaka dar. wakati bakhresa ananunua mpya kwa bilion 6 inatumia saa 1 mpaka zanzibar. Mwambieni huyo magufuli aanze kuaga tu mtaani, mpaka tar 1 November atakuwa ndani
 
Nafurahi kuona watu wanahitaji mabadiliko ya mfumo kuleta mabadiliko yakiuwajibikaji, nzuri zaidi wameshaamua.
 
Hakika kama kweli upinzani ukishindwa kushika dola mwaka huu sioni kama kuna wakati mwingine watu watakuwa na muamko kama sasa.....Watu wamepikwa wakaiva kutaka mabadiliko cha msingi tu mipango mikakati iwekwe dhabiti ya kudhibiti wizi wa kura ama ubatilishaji wa matokeo ya kura.
Hawawezi shika dola, usipumbazwe na kitu mnaita NYOMI.
 
Ukimpa kura Magufuri utamshangaza hata make wake.kwani hata yeye sidhani kama atampigia.
 
Nafurahi kuona watu wanahitaji mabadiliko ya mfumo kuleta mabadiliko yakiuwajibikaji, nzuri zaidi wameshaamua.

Mabadiliko ya mfumo yapi? Yanayoletwa na Loasa na Sumaye na kina Masha?? NIGGAH PLEASE!!!
Au mabadiliko yanayoletwa na viongozi waliofeli mtihani wa KUWA NA MSIMAMO?? leo anapinga hili kesho analisapoti hilo hilo alilopinga jana, kama ni mabadiliko ya mfumo msubiri, labda 2020, yataletwa na mnayemuita msaliti ZZK endapo tu atabaki na msimamo alionao sasa na chama chao. Mabadiliko ya mfumo eidha yataletwa na JPM mwenyewe au yataletwa na ACT, sio Ukawa tena! Waliharibu kila kitu kwa kumpokea Loasa na kuitupa chooni ile silaha ya kuwachapia sisiemu kuhusu ufisadi. Loasa na genge lake kina Kanjubhai kamwe hawapewi hii nchi.
NARUDIA, kama mabadiliko ya mfumo hayataletwa na JPM baada ya kuapishwa, basi 2020 au 2025 yataletwa na ZITTO ZUBERI KABWE, atakuwa ameiva kisawasawa!
Stay tuned!
 
Hembu imba kidogo mleta news:-
Mpaka kukuche kukuchee kukucheeeee.............,labda nizikwe nizikwe nizikweeee,mapenzi yangu kuisha kwa UKAWA hadi nizikwee!.
Remix ya MABADILIKO BAND.
MWAKA WA MABADILIKO HUU,
HATUDANGANYIKI NG'OO!_twende na UKAWA 25/10/2015.
Lowassaaaaaaaaa.................,
mabadilikoooooooo................!.
AHSANTENI SANA.
 
Back
Top Bottom