Huyu ndiye Prof. Sospeter Muhongo usiyemjua

cv na tabia haviendani kwanza linakibuli hilo mimi hata angekuwa na cv ya kuludisha uhai bado nisingemkubali
 
Kasheshe ni pale ambapo Kichaa anajifanya mjuaji kuliko wote!!! OPHIR Gas wametengeneza kiasi gani kwa kuuza kitalu cha gesi pekee? Kwanini Gas iliyoko Ardhini isiwe Collateral kwa Watanzania? How comes Petra Diamond hawalipi hata cent moja kwa watanzania.... Kajipange upya!!! Muhongo, Ndullu, Chenge ni EHM....

 
cv na tabia haviendani kwanza linakibuli hilo mimi hata angekuwa na cv ya kuludisha uhai bado nisingemkubali

Hii inaonyesha anauwezo mzuri wa kukariri! Gud for him. Ipa hakuweza kuisaidia nchi badala yake amekuwa mwizi! Angechomwa moto tu. We dont care ako na degree ngapi! What matters ni intergrity yako.
 
Watanzania hasada zao ni kubwa sanaa

Wivu majingu na fitina haziwaishii
 
Also, he is a Fellow of Academic Tricks to Develop Escrow Tanzania ( FATDET)
 
kama mnampenda professa kamnunulieni chai mambo yaishe. Mnapoendelea kumleta kwenye mitandao mnachafua zaidi, mwacheni prof wa watu aendelee na hizo awards zake kuliko matusi anayotuknwa humu ndani. For your information you missed one important award, he was a Fellow of Academy Wiles to Develop Escrow in Tanzania (FAWDET)
 

Poor Sospateri 'Pathological lier Muongo
 

Poor Sospateri 'Pathological lier" Muongo; its all about miamba, udongo, vumbi, kokoto, mchanga! Yet nothing about human interpersonal relations, zero public admin skills, Nothing man management prowess!! suffice to say that his little brain mutated into a graphite rock, he seems to have a mental block for gray matter! Good riddance Muongo, you are too bookish, God speed, Tanzania can manage without the likes of you and your stupid arrogance, may you burn in hell, cause that's where you belong.
 

Mh! Kwa mwendo huu bora huu uzi usingeanzishwa....
 
Lile Muhongo ni jitu jinga tu. Ukiona mtu anajinadi kuwa kasoma sana au anajua sana ujue huyo ni mpumbavu. Mtu asifiwe na watu wengine ambao wanaona mchango wake kwa jamii lakini siyo hili jamaa kila likiwa kwenye microphone ni kutaja kuwa eti limesoma. Unamtisha nani kwa elimu ya miamba. Unataka tu mu-admire mtu wa elimu ya changarawe tuache kum-admire daktari anayempasua binadamu na kuokoa maisha yake? Hapana hata ukinirudisha shule leo huwezi kunifanya nisome geology. Muhongo is a big liar and big loser. Mwizi mkubwa kafie mbali na hiyo "paper qualification syndrome"
 

has managed to add 2 those awards "Member of the New Tz Corrupt Elites-MNTE" Seems even theawards were gotten in the same style - crooked
 

Brother jamaa alikua sawa kabsa....mtanzania gan anaweza kua na company zaid ya Halliburton...
 

Jinga kwa wajinga. Kama ww ...na wenye hakr za kushikiwa Kama zako....pole dogo maana cjui bachelor uliyosema
 

Hakr ndogo n janga kwel....
 

Go away! Hizo sifa zake zimeisaidia nini Tanzania zaidi ya kudhalilisha UPROFESA kama Tibaijuka? Sijui mnalipwa nini kiasi cha kuelekea kuhangaika kumsafisha mhuni huyu!
Get a life!
 
Go away! Hizo sifa zake zimeisaidia nini Tanzania zaidi ya kudhalilisha UPROFESA kama Tibaijuka? Sijui mnalipwa nini kiasi cha kuelekea kuhangaika kumsafisha mhuni huyu!
Get a life!

Kama ameshindwa tu kutambua kwenye escrow Acc kuna hela Ya umma kuna maana gani kuwa na pr kama huyo?
 
sishangai watanzania kukataa watu muhimu ni kawaida yetu. lakini hao hao wanamkumbatia mbowe form six. sababu?? anajua kuongea. what a waste.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…