Sawa DadaMimi sio mwalimu.
R.I.P moodyHujakutana na marehemu moudy physics.. R.IP legend, physics ilikuwa tamu na laini saana kwangu kupitia huyu mwamba.
Kama ni ww ni mtafsiri niwie radhi, ni kwamba mm sipendelei kutafsiriwa kitu ninachoelewa.
Nisingeitafsiri video ingepata Copyright claim, hivyo imebidi nikate vipande vipande ili kuepuka kupata Copyright claim.Kama ni ww ni mtafsiri niwie radhi, ni kwamba mm sipendelei kutafsiriwa kitu ninachoelewa.
Mfano: Mtu aje ajitambulishe kwako anaitwa plan z halafu mwingine akuambie amesema anaitwa plan z wakati wewe ulishamuelewa plan z.
Nadhani umepata picha ninachomaanisha. Siipondi video yako.
moudy physics wa mchikichini ?Hujakutana na marehemu moudy physics.. R.IP legend, physics ilikuwa tamu na laini saana kwangu kupitia huyu mwamba.
Ooh. Ook mkuuNisingeitafsiri video ingepata Copyright claim, hivyo imebidi nikate vipande vipande ili kuepuka kupata Copyright claim.
Ndio, kaishafariki yule mwambamoudy physics wa mchikichini ?
alifariki ?
Walter llewin huyo.Ni walimu wachache sana wanaweza kuweka rehani maisha yao kama huyu jamaa.