Huyu ndiye mtoto mnene zaidi duniani

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
1467730826769.jpg


Mtoto wa miaka 10 kutoka Indonesia, ambaye ametajwa kuwa mtoto aliyenenepa zaidi duniani ameanza kupewa chakula cha kupunguza uzani kwa kuwa wazazi wake wanahofia afya yake.

Arya Permana ana uzani wa kilo 188 na ameorodheshwa kuwa na unene usio wa kawaida.


BBC ilizungumza na mamaake Rokayah huko Karawang Indonesia ambaye ana wasiwasi sana kuhusu afya ya mwanawe.

Chanzo: BBC

Wakuu hii mitoto ya siku hizi inafyatuka sana, nimegundua hata hapa bongo hili tatizo limeanza kujitokeza.

Leo yenyewe nimekutana na mtoto bonge ajabu.

Wazazi tuwe makini, tusije kuwapoteza watoto wetu...yangu ni hayo tuu..

~Kirerenya~
 
Back
Top Bottom