Mtuhumiwa namba moja wa haya mauaji ya kinyama ya kupiga risasi watu wasiokuwa na hatia ni Nape Nnauye.
Yeye alianza kupanga mipango hiyo zaidi ya wiki moja iliyopita, alidai kuwa CHADEMA wameandaa watu kwenda kufanya fujo na kuuwa watu kwenye mkutano wao(Chadema) huko Morogoro, jambo ambalo hata mtoto wa chekechea hawezi kuliamini labda wale mataahira tu.
Ni dhahiri kuwa huu ni mpango mahsusi wa kukichafua CHADEMA,kwani hata polisi wenyewe wanaanza kujichanganya kuwa risasi hiyo haikufyatuliwa na polisi, sasa kama siyo polisi walioua basi ni vijana wa Nape na Mwigulu ndiyo waliofanya mauaji hayo.
ALAANIWE NAPE,ILAANIWE CCM,ILAANIWE TISS NA LILAANIWE JESHI LA POLISI BILA KUSAHAU MFADHILI MKUBWA WA UVURUGAJI WA MIKUTANO YA CHADEMA HUKO MOROGORO MBUNGE WA MOROGORO MJINI.