Huyu Ndiye Jose Morinho

Nimenyoosha mkono kwa Jose Mourihno, tactically the man is nomaaaaaa!!!!

Barca with all the talents at their disposal, their failed to defeat Inter with the 10 men playing for over 60 minutes.

What a shame to Pep & Messi!!
 
Josee kampa somo Wenger kuwa Messi anakabika, wala si mchezaji wa wa sayari nyingine, nasema haya nikizingatia maneno yake kuwa , messi hakabiki na hazuiliki. akamuumba Messi kama mtu wakufikirika katika soka.
Jose kampa somo....namna yakumkaba na namna yakujenga kikosi cha ushindi.
 
Jose namkubali tangu zamani ana mdomo mchafu sana lakini anajua ku-motivate wachezaji kisaikologia.
Anazidi kujiongezea market
 
Nimenyoosha mkono kwa Jose Mourihno, tactically the man is nomaaaaaa!!!!

Barca with all the talents at their disposal, their failed to defeat Inter with the 10 men playing for over 60 minutes.

What a shame to Pep & Messi!!

Mkuu Pia nimekubali mourihno ni kichwa tactically, timu inayo defend 60 minutes wakiwa kumi hiyo organisation ya defence ni nzuri sana na imefanyiwa kazi vilivyo.

Mourihno alipoona Motta anatolewa tu, akajua hakuna kingine - Guys lets us defend kwa hiyo game plan yote ikabadilika.

Sijawahi kukutana na timu ikadefend dakika hizo tena wakiwa kumi mbele ya Barca. To inter wana deserve credits on that.

Mtu akisema eti Inter walipaki basi kwenye goli lao - wewe mwambie yeye angekuwa kocha na holding mid wake katolewa dakika ya 30 tu ya mchezo angetumia tactics gani ukizingatia unaongoza kwa 3-1 on aggregate angefanyaje?

Moninho I salute you.

Zaidi pata hapa
http://soccernet.espn.go.com/news/story?id=778835&sec=uefachampionsleague&cc=3888
 
Messi alijiokotea vibonde Aseno jana alichemsha hakuna cha penetration pass wala nn.
 
Wale Italians kwa defense ni noma tupu! nimefurahi sana hasa Etoo anaonekana bora kuliko huyo Ibrahimovic ambaye Guardiola alidhani atampiku Etoo.
 
Nimewakubali Inter haswaaa... 60 min with 10 players against the greatest Barca !!!!! Jose knows the tricks banaaa !!!
 
Nakubaliana na Mourihno kwamba akifanikiwa kuchukua kombe la UEFA, aachie ngazi Inter na moja kwa moja aelekee kwa wapiga kelele (wanaoongea sana waingereza) EPL. Kule ndo kunamfaa, akawabwatukie kina Ferg na Wenger!!
 
hakuna siku nimepata raha ya soka kama jana..yaani Mourinho mchezaji ana[ewa kadi nyekundu yeye anacheka..hahaaaaaa ... Jose ni kocha mzuri sana nakumbuka aliwahi kuwaambia wachezaji wa chelsea katika moja ya mechi za EPL kuwa ,we cannot loose but iam not forcing you to win!!! this alone inawapa wachezaji motivation ya kutosha..Go Inter Gooo!!
 
Binafsi sipendi team kujidai wao ndio walizaliwa na mpira kama wazee wa Barca, lakini lingine ninachojiuliza hivi akitokea kocha anayejua kufundisha mpira wa ku defend na wakawa hawafungwi na hawafungi itakuwa je?Maana inaelekea mzee JM kama anaweza kufanya hivyo, ila raha ya mpira itakuwa wapi. Maana raha ya mpira nahisi ni kucheza. All in all umekuja msemo wa chenga twawala.................
Hongera JM. Maana wengine wanasema mpira na ushindi ni kuchukua kombe!
 
Mi jana nimefurahi sana kwa sababu hawa Barca pamoja na vipaji walivyo navyo, kuna kusaidiwa sana na ile imani kuwa wao wanaweza na hakuna wa kuwazidi......hasa ukiangalia walivoidemolish Arsenal 4-0 pale Nou camp..... kumbe wanasaidiwa sana pia na the fact kwamba wao na real madrid wanacontrol sehemu kubwa ya televison ads huko La liga so wako na hela ya kufa mtu, na hata waki dive au marfa wakiwapendelea, hicho kinaonekana cha kawaida

jana niliona kama refa anawauma sana Inter lakini waligangamala hadi Mwisho....ijapokuwa JM alihkuwa na walinzi tangu afike Barcelona pale kwa sababu ya hostilities

how do u explain the fact kwamba barca possesion ilikuwa 75% na bado hawakuweza kuwafunga idadi ya magoli yalotakiwa (actually lile moja si offside?)

pole FL1!
 
The Mourinho and sons are bravo, jana nilikuwa nawambia watu kuwaa kwa experience niliyonayo kuhusu Barca na Mourinho ni kuwa hawajawahi kuwafunga Inter kwenye semi finals--hasa Mourinho akiwa kocha, so nilitegemea matokeo ya bao moja bila, niliwaambia wattu wakasema haiwezekani---ndani ya Messi inter watapoteza-----------i said hell no, it wont happen

Bravo Mourinho and the Team
 
Mi jana nimefurahi sana kwa sababu hawa Barca pamoja na vipaji walivyo navyo, kuna kusaidiwa sana na ile imani kuwa wao wanaweza na hakuna wa kuwazidi......hasa ukiangalia walivoidemolish Arsenal 4-0 pale Nou camp..... kumbe wanasaidiwa sana pia na the fact kwamba wao na real madrid wanacontrol sehemu kubwa ya televison ads huko La liga so wako na hela ya kufa mtu, na hata waki dive au marfa wakiwapendelea, hicho kinaonekana cha kawaida

jana niliona kama refa anawauma sana Inter lakini waligangamala hadi Mwisho....ijapokuwa JM alihkuwa na walinzi tangu afike Barcelona pale kwa sababu ya hostilities

how do u explain the fact kwamba barca possesion ilikuwa 75% na bado hawakuweza kuwafunga idadi ya magoli yalotakiwa (actually lile moja si offside?)

pole FL1!

Arsenal is not a football team ...is a bunch of boys! learning how to play footie. Sasa hivi Arsenal wanajandaa na kugombea kombe la Emirates. Emirates Cup tournamount has been announced!!!

AC Milan
Celtic
Lyon
Arsenal

Nadhani kila mwaka Arsenal huwa wanachukua hili LOL!
 
Back
Top Bottom