Huyu ndiye Edward Lowassa

Kuhusu kuhujumu uchumi, aliyeuhujumu ni yule ambaye hakumchukulia hatua Lowasa wakati akihujumu uchumi, kwa nini akaachwa mpaka sasa kama kweli kafanya makosa ?
 
mods wekeni hii taka kwa dust bin
 
Kwanini Hakufungwa kama akina Mramba na Yona? ESCROW ni ya LOWASSA? EPA? RICHMOND?
 
Nilishaamua kumpa kura yangu edo hii story ungeileta hapa mwezi wa nane
 
Join Date: 18th February 2014
Posts: 648
Rep Power: 515

Likes Received: 198
Likes Given: 1

Kwa wasifu huu ni dhahiri bin shayiri kwamba weye bado ni kichanga sana!! ID bomu; Thread bomu na Fikira Bomu; LoL!!!
Any way; this is too little too late!! After all you are a NON-ENTITY katika VUGUVUGU la MABADILIKO; kwa hiyo maoni yako hayana athira yoyote na hakuna kitakachobadilika.

Ni thread ya Kukaririshwa; Ankooo; wewe na Magufuli mlifundishwa na mwalimu mmoja nini!!




 
Hâta mimi nasema hivii mmechelewa kumchufua lowqssa ccm haishindi tena mkome kua mnalusha ujumbe mfu .huu mwaka nimabadiko SFIO kututo ccm ng'oooo
 
Ni povu tu hakuna kingine Mwamini Nape na Bulembo HAO NDIO SAIZI YAKO.
 

Uliyoandika ni hisia zako na ni imani yako dhidi ya propaganda za kisiasa make ukiambiwa ulete ushaidi huna kwa sababu chanzo chako cha habari za propaganda ni maneno ya uzushi ya watu wenu wanayoyatoa majukwaani.
ninachoweza kuchangia ni kwamba umezidi kuianika ccm kuwa ni chama kinachokumbatia maovu tangu kianze kutawala. tena mambo mengi uliyoandika ni ya kusadikika eti alitia nchi hasara, ina maana kwako watu kugawana pesa za escrow kwa lumbesa siyo hasara? heri ya huyo ambae ni hisia tu ndiyo imekutawala kuwa alitia nchi hasara kuliko waliogawana pesa juzijuzi tu tena tukiona kwa macho.
 
Umesahau. Alinunua wenyeviti wote wa CCM wa wilaya na mikoa. YUle mwana Msukuma (Kasheku) wa Geita amenyang'anywa ile helkopta aliyonunuliwa na Lowassa baada ya kugoma kumfuata. Alinunua na baadhi ya wabunge pia wakiwemo akina Lugora. Alinunua wajumbe wengi wa NEC na kamati kuu ya CCM ndo maana kamati ya maadili wakaamua kumtaka mapema maana walijua fika kuwa akiingia tano bora atapita tu kwa nguvu yake ya pesa.
 

Hili jibu alione mtoa mada
 
Umesahau. Alinunua wenyeviti wote wa CCM wa wilaya na mikoa. YUle mwana Msukuma (Kasheku) wa Geita amenyang'anywa ile helkopta aliyonunuliwa na Lowassa baada ya kugoma kumfuata. Alinunua na baadhi ya wabunge pia wakiwemo akina Lugora. Alinunua wajumbe wengi wa NEC na kamati kuu ya CCM ndo maana kamati ya maadili wakaamua kumtaka mapema maana walijua fika kuwa akiingia tano bora atapita tu kwa nguvu yake ya pesa.
 

Ivi ni nani hajadhurumu taifa hili?
 
Mtoa mada dont ever again mention mr president lowassa.
 
Watu wengine wajinga sana..unashindwa kuzungumzia nchi kuwa gizani,walimu kutolipwa stahiki zao,maji hakuna unamzungumzia alikuwa nje ya serikalu kwa miaka 8..asee unatia hasira wewe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…