Yeah nikweli, pia anakipaji cha kucheza popote dunianiUkikasikia kanaongea kanaonekana kana taka kufika mbali.
Kamaliza form four tayari Mwanza,alikuwa Alliance kama kumbukumbu zangu zipo sahihi,ni project ya MalinziNafikiri ni humo humo maana kametokea kwenye michezo ya shule za msingi utashumita sijui wanaita.[emoji1787]
Yeah nikweli, pia anakipaji cha kucheza popote duniani
Hapo sawaNasikia kesha pata mchongo majuu
Yule hata kuanza naona anaweza kuwa na impact kuliko baadhi ya wakongwe,akipewa nafasi naamini Afcon ndo Itakuwa njia yake ya kutokaNaomba Mungu tuu wakatumie afcon hata kwa dk 15 kila mechi walau kaonyeshe kipaji chake.
Kuna shuti kalipiga wakati wa AfCON u17 likamshinda kipa wa nigeria na kutinga wavuni toka nje ya 18, juzi juzi hapa hadi Diof wa senegal akasimama jukwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawaza tu na udogo wake ataeza mudu beki za Senegal, Algeria na Kenya?
Anaweza kuwa mzuri ila atakuwa mzuri zaidi huko mbeleni angalau akishafikisha hata 20yrs na ubora ukawa huu huu nje ya hapo sidhani mwaya kwani kanaeza pangwa kakaishia kuomba Sub.