Hahahaa hangover hazijawahi mwacha mtu salama.Kama Asubuhi Hii Ameamkia Kwako Kakupa Na Morning Glory Kisha Kapasha Kakiporo Kapilau Alipika Jana Kakutengenezea Na Chai Ya Maziwa Ya Unga Kamalizia Na Vyombo Vichafu Na Kudeki, Sahizi Kajilaza Pembeni Ana View Status Za Mashosti Walio Kuwa Out Jana. Bro Oa Huyo Mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukupige konzi la kisogo turestore factory setting za ubongo, uanze kuwaza upya.Kama Asubuhi Hii Ameamkia Kwako Kakupa Na Morning Glory Kisha Kapasha Kakiporo Kapilau Alipika Jana Kakutengenezea Na Chai Ya Maziwa Ya Unga Kamalizia Na Vyombo Vichafu Na Kudeki, Sahizi Kajilaza Pembeni Ana View Status Za Mashosti Walio Kuwa Out Jana. Bro Oa Huyo Mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
wakat ana-view hizo status huyo bro anakuwa anafanyaje.?
au ndo anakuwa amempanda huku demu ana-view status.?
Khaa!!Kama Asubuhi Hii Ameamkia Kwako Kakupa Na Morning Glory Kisha Kapasha Kakiporo Kapilau Alipika Jana Kakutengenezea Na Chai Ya Maziwa Ya Unga Kamalizia Na Vyombo Vichafu Na Kudeki, Sahizi Kajilaza Pembeni Ana View Status Za Mashosti Walio Kuwa Out Jana. Bro Oa Huyo Mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka kwa sauti hadi nimepaliwa na chai
Jichanganye tu uoe kisha uone balaa lake,mwenzio anakuzoom tuKama Asubuhi Hii Ameamkia Kwako Kakupa Na Morning Glory Kisha Kapasha Kakiporo Kapilau Alipika Jana Kakutengenezea Na Chai Ya Maziwa Ya Unga Kamalizia Na Vyombo Vichafu Na Kudeki, Sahizi Kajilaza Pembeni Ana View Status Za Mashosti Walio Kuwa Out Jana. Bro Oa Huyo Mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]