God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Mkuu aliombwa afanye hivo au alitaka mwenyewe? mbona wapinzani wanalalamika?Hiki kichwa niligundua hesabu zake pale alipokubali kutoka urais awe waziri mkuu ili agombee urais tena, hakuna anaeweza kusema ni mbinafsi mpenda madaraka.
mkuu simaanishi hivyo mimi nilitaka awatetee wenzie basi yeye ndo akaenda kuwaua kabisasasa wewe ulitaka akawauwe wakristo wasio wenzake,? Acha hizo ndugu...
huyu mkenya ni kilazaa kwa kweli huy mama si aliwahi kumsema vibaya 2008anamahesabu yake bwana,anajua Obama anatapatapa hana kwa kupashika,anachofanya Obama anataka ile staili ya yeye amwage ugali na Putin amwage mboga ili mambo yaharibike kabisa Putin anajua faida inayokuja baadaye baada ya Obama kusepa na kinachomsumbua Obama alishatamka kuwa ataenda kuishi Canada endapo Trump akishinda kwa hiyo anaona jealous kwa hao Jamaa kuwa pamoja kikazi
alikua mlevi sana huyo bwanaUna habari kuwa wakati Boris Yeltsin akiwa rais alikuwa na mkutano na John Major waziri mkuu wa Uingereza, Yeltsin akawa anapiga vodka kwenye ndege, wamefika London alikuwa amelewa vibaya mno, kuepusha aibu ndege iligeuza, wakasema alipata dharura nyumbani.
Kweli mkuu watu wengine sijui wanaakili gani,,hapa anaongelewa Putin" mtu anaingizia chato,,seeeeeAlafu acha kumfananisha Putin na mambo ya kijinga kijinga!! Chato na putin wapi na wapi mkuu?
View attachment 452440
vijana wa bavicha hawaKweli mkuu watu wengine sijui wanaakili gani,,hapa anaongelewa Putin" mtu anaingizia chato,,seeeee
Kweli mkuu watu wengine sijui wanaakili gani,,hapa anaongelewa Putin" mtu anaingizia chato,,seeeee
Naona mnaleta utoto wenu wa ccm na chadema kwenye siasa za kimataifa....
The Great Putin... Kakushikeni pabaya
McCain":Adhabu aliyotoa Obama ni ndogo ,Congress mpya na Rais mpya lazima imuongezee vikwazo Urusi.
"Ni dharau kubwa kuingilia masuala ndani ya USA
Graham": Congress mpya lazima ipige kura kuongeza vikwazo haswa kwenye benki na gesi ,tunafahamu uchumi wa urusi unayumba
" Pia tushinikize majeshi yaongezwe visiwa vya Baltic na Ukraine kuwa press urusi
NB:kivyovyote Putin hapa hachomoki bado senetors wote wa Dems na baadhi tu wa Reps wapige kura kwenye congress mpya kuongeza vikwazo zaidi, itakuwa fundisho siku nyingine hatoweka pua yake kwenye masuala ya ndani ya USA ..don't play with USA ,anaendesha mafuta yeye ,anacontroll kila kitu .Putin lazima awe mdogo kama panadol
Babake alikuwa mwislamu.Hussein Obama, ila Obama alifuata ukiristo wa mamake ambae ndo alimleaHivi ni mwafrika wa kenya kweli?? naskia ni muislamu?
Ila wee bhana!!! We unafikiri dini inarithiwa kama kabila, au ni mtu binafsi ndo anaamua kuchagua anakotaka kwenda. We unafikiri wakiristo wote ni nafsi moja?!!! kila mtu na nafsi yake na matendo yake, huwezu kumcontroll mtu kisa ni wa dini yako.Hatuna muuaji kama huyo wakristu sisi.
Nimeshindwa kulike mkuu maana naona zimefika tanoangefukuza wanadiplomasia wa marekani mngekuja hapa kusifia make mlikuwa mshaanza kusema lazima alipe kisasi, saiz hajafukuza mnasifia pia. mibongo bana!
vipi trump akiharibu tena kama bush?Sijaona sehem Obama anamiliza vibaya kilichotokea us hutokea Mara nyingi na kubadilishana madaraka ni kawaida
Obama asingeweza kamilisha kila kitu lakini alivyoipokea us kutoka kwa bush kafanya kazi kubwa kuimarisha
Invasion mission kwa us zinatengenezwa pentagon NSA CIA na kwenye vyombo vingine hata trump atafanya hayo hayo maana atakuta ramani na hana kitu atakataa