uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,454
- 2,242
Tulishaambukizwa zamani sana huo ujinga mmeshachelewa.Hauwezi wewe na nani???.Unatakiwa ujiongelee wewe mwenyewe.Ujinga wako usitake kuambukiza na wengine.
Tulishaambukizwa zamani sana huo ujinga mmeshachelewa.Hauwezi wewe na nani???.Unatakiwa ujiongelee wewe mwenyewe.Ujinga wako usitake kuambukiza na wengine.
Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania.
kuna watu bado wana akili za kishamba na kijinga wanahc bado tupo enzi za asp na tanu,huyu mleta mada ni mbumbumbu sana,anajidai hajui kuwa damu ya wakenya ilitumika kumtibu lisu!111!11111111!shiiiiit yake hajui kuwa hata jiwe ni mnyarwandiz,wenye asili ya tz ni zaramo tu nao ni partialism
Magu Pandikizi la Rwanda ama?Uko sahihi Lisu Ni mgombea wa Kenya huyo ni pandikizi la Wakenya
Lowassa naye Alikuwa pandikizi la Wakenya alipogombea Uraisi
Sasa kapokewa na Lisu
Yeye na sisi Watanzania wenye mapenzi mema na nchi hii.Hamuwezi wewe na nani?
Inategemea unalopoka lipiView attachment 1534628
Eti wataalamu wa mambo. Hapa anasemwa Lissu au Magu?
Comments reservedLisu amedai ana damu ya wakenya hiyo inazidi kuleta taharuki kwenye ishu za uraia wake.