Huyu ndio Tundu Lissu

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
26,151
Reaction score
18,753
Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania.

Your browser is not able to display this video.
 
Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania
Uko sahihi Lisu Ni mgombea wa Kenya huyo ni pandikizi la Wakenya

Lowassa naye Alikuwa pandikizi la Wakenya alipogombea Uraisi
Sasa kapokewa na Lisu
 
Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania
Kwa Tume hii ya uchaguzi ambayo imewekwa MFUKONI na Rais, tutarajie viroja vingi sana.
 
Msimchague mkuu mbona simple

waache Chadema mchana wajilishe upepo usiku ndio watakoma na njaa
 
Uzi wa kujifariji kwa wana Lumumba!!! Na hadi mtaokota makopo mwaka huu 😀😀😀😀

Risasi mumpige nyie, Kukataza watu kumuombea baada ya kumpiga risasi mkataze nyie, kukataza kampeni ya kumchangia damu baada ya kumpiga Risasi mkataze nyie. Alafu propaganda kuwa ana damu ya kenya hivyo katumwa na Kenya mlete nyie???😀😀😀😀

Kweli Lumumba na Mataga mna hali mbaya sana! Hiyo ndo TUNDU ANTIPAS LISSU mliyemjenga nyie wenyewe kwa udhalimu wenu. Jiandaeni tu kumkabidhi nchi baada ya October 2020!
 
Hauwezi wewe na nani???.Unatakiwa ujiongelee wewe mwenyewe.Ujinga wako usitake kuambukiza na wengine.
 
Nchi hii imevurugwa sana hii miaka mitano .
Mabadiliko ni lazima kuikoa kudidimia zaidi na kuporomoka.

Propaganda za kujenga hili na lile huku ukiua miradi mengine ya kijamii na kuifilisi mifuko ya pensheni ya hifadhi
Propaganda za kijinga hazisaidii
 
Uko sahihi Lisu Ni mgombea wa Kenya huyo ni pandikizi la Wakenya

Lowassa naye Alikuwa pandikizi la Wakenya alipogombea Uraisi
Sasa kapokewa na Lisu
Magufuli ni wa Rwanda tena Mhutu
 
Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania.

Kwahiyo tarehe 28/08/2020 Tundu Lissu, Benard Membe na maalim Seif wataondolewa rasmi na tume ya uchaguzi kwenye kinyang'anyiro kwa kukosa sifa, ili Magu achuane na Lipumba na yule jamaa wa NCCR ?Mageuzi ambaye anajulikana kwa familia Yake tu.
 
Eti wataalamu wa mambo. Hapa anasemwa Lissu au Magu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…