Uko sahihi Lisu Ni mgombea wa Kenya huyo ni pandikizi la WakenyaHatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania
Kwa Tume hii ya uchaguzi ambayo imewekwa MFUKONI na Rais, tutarajie viroja vingi sana.Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania
Na Mrundi je?Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania
Mrundi aende kwao. Hakuna mtanzania atafanya tena makosa ya kuchagua Rais hata kiswahili hakijui.Na Mrundi je?
Mataga mnatapatapaUko sahihi Lisu Ni mgombea wa Kenya huyo ni pandikizi la Wakenya
Lowassa naye Alikuwa pandikizi la Wakenya alipogombea Uraisi
Sasa kapokewa na Lisu
Njooni na hoja za kumjibu Lissu. Amewapiga vibaya mno.Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania
View attachment 1534584
Magufuli ni wa Rwanda tena MhutuUko sahihi Lisu Ni mgombea wa Kenya huyo ni pandikizi la Wakenya
Lowassa naye Alikuwa pandikizi la Wakenya alipogombea Uraisi
Sasa kapokewa na Lisu
Tena kuna tofauti kubwa, huyu ni Mkenya kwa kuongezewa damu akifanyiwa operesheni na huyu ni Mrudi kwa kuzaliwa.Na Mrundi je?
Kwahiyo tarehe 28/08/2020 Tundu Lissu, Benard Membe na maalim Seif wataondolewa rasmi na tume ya uchaguzi kwenye kinyang'anyiro kwa kukosa sifa, ili Magu achuane na Lipumba na yule jamaa wa NCCR ?Mageuzi ambaye anajulikana kwa familia Yake tu.Hatuwezi kumchagua mgombea anaejikomba na kujinadi kuwa yeye ni wa nchi ambayo kila siku wapo mbele kutuhujumu.
Akichaguliwa huyu atakuwa kwa maslahi ya nchi jirani na si Tanzania.
Na sisi wengine.Hamuwezi wewe na nani?