Huyu ndio "Shetani"

Huyu ndio "Shetani"

Status
Not open for further replies.
Hapo kwa wala riba lol! Basi wako wengi, manake siku hizi ukimkopa mtu hela tu utasikia anakwambia utarudisha na riba!


Je unaijua Kazi yake katika jamii?

"Hapendi kuona AMANI katika Ndoa",
Hataki kuona UKISALI",
Anapenda kukuona ukitafuta "PESA" Bila kuridhika!"

Je unajua anapoishi?
Sehemu anayopenda ni pale ambapo hakuna jina la Allah (sehemu ambayo hatajwi Mwenyezi Mungu)!

Vipi unawafahamu rafiki zake?

Rafiki zake wakubwa ni...!
WAZINZI, WEZI, WALEVI, WANAFIKI, WAONGO, WALA RIBA, WASIO HESHIMU WAZAZI, WASIO SWALI, na WAFITINISHAJI.

JE unaijua fimbo yake ya kumpigia?

Wewe sema AUDHUBILLAH MINASHAYTWAANRAJIIM! (Najikinga kwa Mwenyezi Mungu anilinde na Shetani)
Au wewe mtaje , MUNGU kila mara mfano, uwe unasema ALLAH AKBAR (Mungu Mkubwa kuliko kila kitu), N.K

Mimi nimefikisha ujumbe kwako je wewe unamfikishia nani?
 
Hapo kwa wala riba lol! Basi wako wengi, manake siku hizi ukimkopa mtu hela tu utasikia anakwambia utarudisha na riba!

Kweli,

Riba ni dhuluma kubwa kwa jamii na ndio chanzo cha umasikini (Riba na ubakhili zinaleta umasikini).
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom