Elections 2010 Huyu ndio Raisi wetu akiwa Ikulu

Hivi ni lazima uandike hata kama unachoandka na kutufanya tuachi majukumu mengine hakina msingi....
 
In contrast hii ni hospitali ya Msoga....

Hivi jamani ukiwa Rais ukajikuta mahali kama hapa alipo huyu baba, ukajionea hali hii mwenyewe, unaondoka ukiwa na mawazo gani ukizingatia kiasi kikubwa cha fedha za umma zinaibiwa na wachache? Hivi inawezekanaje hawa viongozi wetu wakawa na raha na kicheko katika hali kama hii?? Hivi ni kweli haiwezekani kabisa kuikomboa Tanzania hata tu kwa kuwa na majengo mazuri ya hospitali na vitanda hata kabla hatujamfikia mtu mmoja mmoja?? Mungu aturehemu na kuwatoa hawa viongozi mioyo ya mawe waliyo nayo na kuwapa miyo ya nyama wawe wanaona huruma
 

Pole kwa machungu ndugu yangu...utaumia zaidi kusikia hao wote wamempa kura JK....hapo ni kijiji alichozaliwa...nakupa na hii...hataki kuchafuliwa na tope

 
Halafu jamaa anatabasamu wakati kina mama wana hali mbaya sana
 
Pole kwa machungu ndugu yangu...utaumia zaidi kusikia hao wote wamempa kura JK....hapo ni kijiji alichozaliwa...nakupa na hii...hataki kuchafuliwa na tope


Hii ni kiboko kwelikweli!!! Wakati wa kampeni anakubali kukaa mpaka chini. Ila kabla na baada vumbi hataki kulisikia!!
 


Kwa hali hii naelewa kwa nini ndugu yangu KIGOGO kapigwa BAN ya milele maana mamabo haya yanatia hasira sana....kweli kweliiiiii hii nchi unaongoza watu wako hospital hapo?no way
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…