Huyu ndio rais tunayemtaka baada ya JK,akisaidiana na waziri mkuu Dr. J.P.Maghufuli na makamu wake Dr, W.B.Slaa...hii ni kutokana na hali ya nch yetu ilivyo....neemaaa Tanzaniaaa naiona ikakuja kwa kassiiiiiiiiiii kwa hawa waheshimiwa.
Kaka huyu si walisema sio mtanzania? au baada ya uchaguzi karejea tena kuwa mtanzania?
He is...MAN! A man of reasoning in every day n day of his life. He knows exactly how this country grew-up,where it is now and where should it go...may u please go through his statements N actions u ll discover what am I insisting about. Let us put politics a-side men if we real want changes in our Nation...Otherwise we ll keep on crying every day over in bringing these currently nice talkative politicians looking for wealth through popularity of theirs n their youth groups. I conclude, in reality with no personal interest the development in Tanzania needs only 3Drz,...Salim,Magufuli n Slaa as a top figure,note for existing top known ones politician. PERIOD
Akiwa raisi tuu, basi ujue PLO na Hamas watahamishia makao makuu yao hapa Bongo! Kama Dunia ilimkataa kuwa katibu mkuu wa UNO, basi tusithubutu kumkubali sisi hapa nchini!!!! Hawapendi wayahudi, Na mtu yeyote ambaye hawapendi wayahudi kalaaniwa na mungu. Hivyo hata kama akiwa raisi , nchi italaaniwa vibaya sana sana na huenda hata ikaingia vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Tupende tusipende yeye ni mwarabu na alijionesha uarabu wake pale alipomleta arafat Tanznaia na kuwa buruza wananchi kumpigia mwarabu gwaride uwanja wa Taifa. Halafu alikuwa anapelka palestinia day mikoa ambayo ina waktristo wengi, ili wawatukane wayahudi hadhalani kinyume cha maandiko ya biblia. Niko tayari kumpigia marehemu kura yangu, kuliko kumpatia huyu huyu kura yangu.
Tanzania ni moja ya nchi ambazo zinaitwa anti-semites duniani kwa sababu yake huyu huyu. Anti semite ni kundi la wachukia wayahudi duniani.
Kaka huyu si walisema sio mtanzania? au baada ya uchaguzi karejea tena kuwa mtanzania?
Nenda huk na propoganda zako..hizi propoganda ndio zinatuletea shida kwenye nchi yetu..tunaacha viongozi makini na kuchangua hao waimba maneno matupu kila siku...Eti dunia ilimkataa kuwa kiongozi wa UNO unaakili wewe??sorry nafikiri umeingia kwenye thread ambayo hauna uwezo wa nayo nenda kwenye thread zenu za ooh..leo kingwalanda,Lema sijui january kafanya nini....ooh je kamlima barua....sijui kakataa posho huku watanzania tunataabika..naona mmeanzisha na mashindano ya kiongozi kijana sijui wa nini..sijui nanai anakuja kwa kazi..kesho unasika fulani na fulani wachuana...huu ndio upuuziii ambaooo Salim na viongozi wenye maono kwa wananchi hawawezi kuendekezaa....ndio kweli upo tayari kupigia marehemu maana unajua akiingia Salim,Magufuli na Slaa kwenye top chair ..utakua marehemu maana hauwezi kujishughulisa bila usanii wa kuunda propaganda zako kila siku.
Akiwa raisi tuu, basi ujue PLO na Hamas watahamishia makao makuu yao hapa Bongo! Kama Dunia ilimkataa kuwa katibu mkuu wa UNO, basi tusithubutu kumkubali sisi hapa nchini!!!! Hawapendi wayahudi, Na mtu yeyote ambaye hawapendi wayahudi kalaaniwa na mungu. Hivyo hata kama akiwa raisi , nchi italaaniwa vibaya sana sana na huenda hata ikaingia vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Tupende tusipende yeye ni mwarabu na alijionesha uarabu wake pale alipomleta arafat Tanznaia na kuwa buruza wananchi kumpigia mwarabu gwaride uwanja wa Taifa. Halafu alikuwa anapelka palestinia day mikoa ambayo ina waktristo wengi, ili wawatukane wayahudi hadhalani kinyume cha maandiko ya biblia. Niko tayari kumpigia marehemu kura yangu, kuliko kumpatia huyu huyu kura yangu.
Tanzania ni moja ya nchi ambazo zinaitwa anti-semites duniani kwa sababu yake huyu huyu. Anti semite ni kundi la wachukia wayahudi duniani.
Hii michango ya ajabuajabu msiwe mnaleta humu.Kama huna cha kuchangia vema kupitia michango ya wenzio tu inatosha.
Ni muadilifu lakini yuko baridi kama Pinda alivyo na wakati huu wa mapambano makali ya ufisadi na mabadiliko makubwa ya uchumi wa dunia hafai hata kidogo kuwa Presidaa na pia umri umeshakwenda
mie ntagombea na atayenisifia nampa chochote.
Mnataka kuua tena upinzani kwakumshawishi Dr. Slaa nyie msiyo na aibu ili kulinda maslahi yenu. Is either Slaa or Salimu lakini hakuna blending naona CCM na usalama wao wanaandaa confusion nyingine kuwapumbaza wadanganyika kuwa nyoka aweza kuwa malaika...
Nampenda salana na kumheshimu Dr. Salim lakini pia am not for an individual kwani kama system iko okay an individual can just be expeled any time anapotuletea usanii. Hakuna blending hapa kila mtu anywe kwenye birika lake!