Huyu ndio mzee wa sabini

Huyu ndio mzee wa sabini

Mr. madevu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
432
Reaction score
75
Hapo akiwa ameshikilia kiboko tayari kwa kumwadhibu mwanafunzi aliemkamata mtoni amejificha kwa kukimbia mitihani.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1369962130943.jpg
    uploadfromtaptalk1369962130943.jpg
    72.8 KB · Views: 335
Mzee wa sabini aliishawahi kuwa mwanajeshi nini?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ila wazee wa namna hii huwa wapo katika jamii, huwa ni watata sana.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hii thread nimeidandia katikati nini? mbona kama siielewi elewi vile? Huyo Mzee amekuwaje?Kwani ni nani huyo mzee kwanza?
 
Anajiita mze wa sabini, yeye kazi yake anadili na watu wenye tabia mbaya katika jamii. Kama umevaa hovyo akikukamata unakula sabini, kama unaongea maneno mbofumbofu unapata sabini. Ukidoji shule unakula sabini
 
Wampeleke Bungeni. Nafikiri akitembeza sabini pale Mjengoni, Bunge litapata mwelekeo sahihi. Siku hizi Wabunge wamekuwa na lugha chafu sana na utoro bungeni umezidi.
 
Na huyu Mzee wa sabini anapatikana kwenye nn nami nifaidi utata wake maana naona anafaa Kuwa waziri wa nidhamu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hahahaha, njoo Arusha ukifika uvae nguo za kubana au kata k nikupitishe mitaa yake uone utata wake.
 
Ila sijui angekua yuko dar sijui ingekuaje kwa akina dada wa huko.
 
Back
Top Bottom